Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

Ligi bora Afrika msimu wa 2023/2024

Wakija kwetu ina maana kwao bado hawana thamani kihivyo wangekuwa wana thamani wangecheza hapo.
Kwa hiyo wachezaji Bora wa ligi zao hawana thamani? Inonga alikuwa beki Bora DRC ,Aziz Ki n Pacome MVP Ivory coast, Nzengeli MVP,Mayele second top scorer nk.Hawakuwa na thamani kwao hao?
 
Kwa hiyo wachezaji Bora wa ligi zao hawana thamani? Inonga alikuwa beki Bora DRC ,Aziz Ki n Pacome MVP Ivory coast, Nzengeli MVP,Mayele second top scorer nk.Hawakuwa na thamani kwao hao?
Weka source nione.
Kama wana thamani kubwa kwanini kwao hawachezi?
 
Kule kwa kina Enyimba inamaana wanazidiwa mpaka na Sudan..!?
 
tatizo hapo nini? si ameongea fikra zake, kwani watu weusi wangapi wanajita wao sio waafrika na wa ulaya mbona hamulalamiki? Unamkumbuka Baloteli alizungumza nini alipopewa ofa ya kucheza timu ya Ghana?
Hakuna tatizo mtu kutoa mtazamo wake lakini kinachoangaliwa na nani kasema, wapi na ni wakati gani.

Baloteli alifuata maokoto tu.
 
Hakuna tatizo mtu kutoa mtazamo wake lakini kinachoangaliwa na nani kasema, wapi na ni wakati gani.

Baloteli alifuata maokoto tu.

maokoto gani? Balotelli aliukana kabisa uafrica akasema yeye sio Muafrika, Na alichukuliwa Poa tu kwa vile ni mtu mweusi, Ila muarabu anaetoka Africa akisema yeye si muafrika munaana kulia lia mitandaoni Ubaguzi.
 
Dos, acha walalamike, binafsi nipo na Morocco 🇲🇦
 
maokoto gani? Balotelli aliukana kabisa uafrica akasema yeye sio Muafrika, Na alichukuliwa Poa tu kwa vile ni mtu mweusi, Ila muarabu anaetoka Africa akisema yeye si muafrika munaana kulia lia mitandaoni Ubaguzi.
Mtu mpumbavu kama wewe huwezi elewa kitu!
 
hata wewe huwezi elewa kitu, nafasi yako imejaa chuki za kibaguzi.
Morocco once applied for European Union membership and were rejected! Every African must support Bafana Bafana! #AFCON2023
 
Morocco once applied for European Union membership and were rejected! Every African must support Bafana Bafana! #AFCON2023

kuna kosa gani wao ku apply huko? je vipi na nyinyi wabongo kama mungekua na nafasi kama hiyo musingejaribu bahati yenu? Chuki zitakuuwenu wakuu
 
Hii hapa chini ni orodha ya ligi 10 bora barani Afrika kwa mwaka 2023/2024. Tanzania imeshika nafasi ya 7.

1. Moroccan Botola Pro
2. Egyptian Premier League
3. Algerian Ligue 1
4. South African PSL
5. Tunisian Ligue 1
6. DR Congo’s Linafoot
7. Tanzanian Premier League
8. Angola’s Girabola
9. Sudan Premier League
10. Guinea.

Unahisi ligi ipi haikutakiwa kuwepo top 10 na ipi imekosekana??
Ninaamini tunaizidi DRC kwa kila kitu, katika Aspect ya ligi kuu.
Automatically sisi ni Number 6
 
kuna kosa gani wao ku apply huko? je vipi na nyinyi wabongo kama mungekua na nafasi kama hiyo musingejaribu bahati yenu? Chuki zitakuuwenu wakuu
Hakuna kosa ku-apply kosa ni kukana U-Afrika wakati nchi ipo Afrika.

An African country did apply for EU (then EEC) membership: it was Morocco, in 1987. After some embarrassement, the application was rejected with the motivations that Morocco isn't an European country, neither from a geographical nor from a cultural-historical standpoint.
 
Alisema wapi hayo maneno? Acheni maneno maneno yasio na maana.
Siyo suala la inferiority bali ndiyo ukweli. Captain alisema Morocco siyo nchi ya kiafrika ila ni nchi ya Ulaya hivyo kushawishi ijitoe CAF.
 
Alisema wapi hayo maneno? Acheni maneno maneno yasio na maana.
Nafahamu huna tv na huwezi kununua kwa ufukara wako, sasa hata redio unashindwa kununua!

Shithole!
 
Back
Top Bottom