Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

Waubani Linyama, dereva wa basi la Golden Deer ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa.​

2841367_FB_IMG_1626197539235.jpg
2841369_FB_IMG_1626196082193.jpg
2841368_FB_IMG_1626196631701.jpg
 
Yaani basi inatoka DSM saa 12 alfajiri,inafika Mbeya karibia saa moja usiku,ni zaidi ya masaa 12+ barabarani kwa umbali wa kama kilometa 790 hadi 800 na bado unasema dereva amekimbia sana??
Mabasi ni ya kisasa kabisa, miundombinu imeboreshwa vizuri tofauti kabisa na miaka ya 90 huko kweli kuna kitu cha kushangaza hapo?
Sehemu ipi hatarishi kwa njia ya Mbeya ukiitoa hapo Iyovi,Kitonga?
Wanatembea mwendo wa kawaida tu tusiwafitinishe bhana
 
Back
Top Bottom