casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
Majinjah ilipoteza umaarufu ilipopata ajali 2014Hao kind Majinja hawana mashabiki wengi ukilinganisha na Sauli na Golden Deer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majinjah ilipoteza umaarufu ilipopata ajali 2014Hao kind Majinja hawana mashabiki wengi ukilinganisha na Sauli na Golden Deer.
Si kweli, angalia kiambatanishi chini.Hizo climber hp 360 sauli scania zake hp 310 wapi wapi?
Si kweli, hebu angalia kiambatasho hapo chiniHizo climber hp 360 sauli scania zake hp 310 wapi wapi?
Hizo climber hp 360 sauli scania zake hp 310 wapi wapi?
Sasa hivi unapanda nini mkuu?Happy Nation, Hood class limited zipo hizoo bus maana ndo zilikuwa zinatamba kipindi hicho Bado napanda mabasi
Ni mwendo wa bombadia tuu mkuu na Express treniSasa hivi unapanda nini mkuu?
Cummins ni brand ya USA, lakini kwa haya mabasi zinatengenezwa China ndio maana hata lifespan yake ni ndogoBody ndio mchina Lakini jiko (engine ni Marekani kakaa hapo) Cummins
View attachment 1879709
Hongera sana.Ni mwendo wa bombadia tuu mkuu na Express treni
Useme ukweli tu, kwamba Siku hizi unatumia fisi na ungoNi mwendo wa bombadia tuu mkuu na Express treni
Anwani za wazalishaji wa cummins engine ChinaBody ndio mchina Lakini jiko (engine ni Marekani kakaa hapo) Cummins
View attachment 1879709
Mkuu nimeacha kupanda mabasi 2007 kipindi hicho nadhani ulikuwa kwenu kishapu Sasa ni miaka takribani 14 naienjoy maishaUseme ukweli tu, kwamba Siku hizi unatumia fisi na ungo
Maisha gani? Wewe unapanda punda, unatuzuga tu hapa.Mkuu nimeacha kupanda mabasi 2007 kipindi hicho nadhani ulikuwa kwenu kishapu Sasa ni miaka takribani 14 naienjoy maisha
Yap, kijiweni Maneno mengi yasiyo na kweliKumbe
Ongea na mm vizuri kijana nikupe michongo ya kuishi hpa mjini Nina hela sana Kwanza umesomea nini au we ni dereva wa hizo sauliMaisha gani? Wewe unapanda punda, unatuzuga tu hapa.
Kwahiyo kumbe kwenye zong tong mmarekani anamkono wake pale?Yap, kijiweni Maneno mengi yasiyo na kweli
Hapana. Cummins engine ya Zongtong ni ya Kichina sio USAKwahiyo kumbe kwenye zong tong mmarekani anamkono wake pale?
Mimi ni mpiga debe stendiOngea na mm vizuri kijana nikupe michongo ya kuishi hpa mjini Nina hela sana Kwanza umesomea nini au we ni dereva wa hizo sauli