Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

Mzungu amemshindwa mchina sa sijui inakuaje kwa mzungu alafu chuma mpya.

Hata Arusha to Mwanza yutong(loliondo) sikuhz ndo anaongoza alafu maroli yanafuata
Achaa uwongo mkuu,Arusha mwanza Ni Asante Rani na kiazi kitamuu,loliondo huwezi kuweka kwenye ligi na Asante rabi abadani

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Ujue kwa basi kubwa za abiria unapoziambia zitembee mwendo wa km 80/saa ni mwendo mkali na hatarishi.

Hayo yangewekewa speed limit ya km 70/saa
 
Unafikiri hao wengine hawawezi kukimbiza? Wanapenda kazi zao ukila ban inekula kwako ndio maana wanajikalia nyuma hawataki ligi
 
Mbona unawaacha Al Saedy,Imani Plus na Majinjah wote wanakimbizana na Sauli,New Force na Golden Deer.
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Kuna siku nikikuwa naangalia kipindi cha AIBUUU YAO cha ITV aisee walionyesha iyo bus ya iman plus dereva wake ali over take sehemu mbayaaa yaan hatariii alafu sasa mbele kukikuwa na trafik akalisimamisha dereva aka nyooshaaa nzimaaa ....ila siku si nyinginyule dereva alisitishiwa leseni yake kwa miezi kadhaa... Iyo njiaa ina makasheshe kumbee
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna Mhadhiri mmoja alikuwa na mfano wake mmoja umachekesha anasema eti zaman dereva wa basi akitokaa moshi mjin akifika mwisho wa safari kuelekea Rombo basi abiria wotee mkishushwa stend kabla hujatelemka una mpa.pole dereva na abiria wengine hujitolea kumkanda dereva ili kuondoa uchovuu maana zaman barabara zilikuwa mbovuuuu
 
Ligi yao hiyo itamalizika pale tu ikitokea Ajali mbaya, kubwa na ya Hatari huku Mshindi wa Jumla wa Kombe lao akiwa ni Israeli pamoja na Wauza Majeneza na Sanda nchini ( eneo la Tukio ) pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…