Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

Ligi isiyo rasmi, inayoshabikiwa na trafiki na abiria Sauli vs Golden Deer

Kureed Hunters
Leo hiyo,taarifa zaidi zitafuata
IMG-20210805-WA0000.jpg
View attachment 1881308
 
Mnakariri sna eti miezi 13 [emoji28] Hoi

Ivi unajua DCA za Newforce zinamiaka mingapi road alaf ni mchina L360

Kuna zile Zhoungtong Caesar za Frester na CXX unajua zina miaka mingapi road?

Zhoungtong Climber (GOLDEN DEER) za Swax DMG series unajua zina 5+ years still zinaenda Kms 1150+

Unaijua DRR 754 ya Dar lux inaenda nayo nearly Kms 1200 tena tupa geuga sometimes hadi mwezi kabla ya service kubwa ipo moja tu!?


Kaangalie Feo ana Tong number B still working

Eti miezi 13 mnazi underate sna Chuma za kichina (sikatai Kwa overall durability Scania yupo vzr) ila achana na moto wa L360 Dongfeng Cummins

Unaijua DRG Tanzania one aka la petrol ya Ally's star (Dar mwanza)
Ñjoo na Scania yako ufate [emoji28]


DRR ya Chris katoka msamvu Morogoro 08:49 saa 11:29 yupo Dom

Na bado chuma zinabanwa sna road
Hapo zishabadilishwa mpaka gear box mdau kubali tu hakuna mchina mwenye cxx na engine ile ile nenda pale maning nice huwa anafanya overhaul ya gari zima kuna siku nilikuta kashusha engine sita za climber na kaweka mpya ila bodi ni ileile..........tukio kama hili la kushusha engine kwa scania piru utalisahau mdau ila kwa mchina miaka minne mingi
 
Swali zuri halafu izo retarder si zipo kwenye yutong??
Yutong Upgrade hizi za Sasa zinazo, Nadhani Zhongtong wao ni option feature sio lazima. Zinawapa Sana uhakika wa breki madereva sehemu za miteremko mikali.

Kipindi cha nyuma basi za mchina brake zilikuwa zina jam na kupelekea brake line na drum kupata moto na kuungua, saizi hakuna kesi hizi wanamwaga moto tu.
 
Miaka nenda rudi Njia ya Dar es Salaam - Mbeya ndio imekuwa njia ambayo ni gumzo kwa mabasi yake kwenda mbio.

Umbali wa safari ni zaidi ya kilometre 800, na njia imekuwa ikipita kwenye Milima mikali, kona kali, mbuga ya wanyama, hali ngumu ya hewa Ikiwa ni Pamela na uwepo wa ukungu mzito na upepo Mkali.

View attachment 1879605
Hiyo ndio njia ya Dar Es Salaam- Mbeya ilivyo.
Na uwepo wa changamoto hizo Kuna wanyama wenye miili ya watu, wakikakaa Kwenye usukani wao wanawaza jambo Moja tu, nitawafikishaje abiria mapema na salama.
View attachment 1879606
Hapo ndipo unapokutana na ligi ngumu isiyo rasmi kati ya kampuni mbili, Golden Deer (New Force) na Sauli a.k.a Mnyama Mkali.

Golden Deer wao wakitumia mabasi ya kutoka China na Sauli wakitumia mabasi ya Ulaya, Ujerumani na Sweden. Sauli wana Mercedes Benz na Scania na Golden Deer wakitumia Zong Tong Climber.
View attachment 1879608
Magari haya yametengeneza mashabiki wengi huku mashabiki wao wakijigawa upande mmoja na mwingine, na askari pia wana timu zao kwenye ligi hii.
View attachment 1879609
Mwendokasi ni Hatari kwa usalama na maisha ya abiria, watumiaji wengine wa Barabara, mazingira na hata vyombo vyenyewe.

Mkuu kama umetuacha hapo wengine. Yaani hata Askari ni mashabiki wa Mbio?
 
Back
Top Bottom