pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Haya mtani hongera kwa draw mtani.. 😀😀😀😀Ngoma draw [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huja wahi notice hicho kitu?Kwamba kuna uwezekano wakawa wanatoa hongo kwa timu kubwa zijiangushe ambazo wanaamini watu wengi wataibetia?
Yaaaaaaanii....Naangalia hapa hapa jf auntie yaani hii simba hii
KoloFt: simba 2-0 kmc
Hii simba hii hatuna team huyu matola huyu anachezesha watu wake tu mxxiueHaya mtani hongera kwa draw mtani.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama Utopolo jana..Kaliwa kibogaaaaaaaaa eti mwisho tena anachomoa
Vyura Kelele nyingi na jana wote Mlijificha....[emoji41][emoji41]Makolo fc.. Panya simba
Halafu goli lenyewe ni offside sema linesman kaamua kukaushaMakolo wanashangilia droo hapa [emoji23]
Bora mikia magoli ya halali kuliko nyie jana magoli ya kubebwa na refa baada ya kucheza mpira mbovu.Senge nyie Mikia.. Sasa kipo wapi..?