Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

Hawa Makolo Mwaka huu watapata taabu sana, kwanza Wanasafari ya Malawi kwa Mafungu mafungu, wakitoka wanangilia mpakani kukipiga na Wajelajela na Mbeya city, wakirudi jijni wanakutana na singida ya mzee wa tozo, then Azam alafu Mabigwa wa Nchi...😀😀😀😀
 
Hata Kigoma ni mkoani

Unaukumbuka huu mchi wa fei toto wa kishua pale kirumba,muulize beno,after joke turudi kwenye reality,last season game 2 za mwisho za nje ya dar zote ulipigwa,sasa unaanza kudondosha point lupaso kwa kmc huko mikoani itakuaje tena kama si kama last season
 
Israh ni weak link kwenye defence ya simba. Na magoli yote yametokea kwake
Nafasi ya Kapombe acheze Kennedy, hadi atakapopona. Nafasi ya Inonga acheze Onyango.
Quattara anarekebishika ila sio Inonga. Kashajiona staa huyo.

Mipira yote ni kurudisha nyuma tu. Goli la kwanza ni ujinga wa kurudisha nyuma mpira tena mpira wa adhabu.
 

Ndiyo maana wanasema ‘ Usijaribu kurusha jiwe kwa jirani wakati ukijua wote nyumba zenu mnazoishi ni za vioo’ au ‘ Usitukane mamba kabla hujavuka mto’.
 
Ningekuwa na nafasi huko dressing room ningewatukana sana hawa wapumbavu, wachezaji waache ufather na ustar wa kijinga. Huo mpira walioucheza baada ya kufungwa goli mbili ilikuwaje washinde kuucheza kipindi cha kwanza???

Pasi za nyuma kila wakikabwa kidogo, mbona walipofungwa waliweza kuforce kuelekea mbele huo uwezo waliutoa wapi? Waache ufala wa kijinga.


Huyo Israel atajiamini lini? Yeye kila akipewa pasi anawaza kurudisha nyuma tu, kwenye hili uongozi wa Simba ni wa kulaumiwa maana sioni akili iliyotumiwa kumtoa Duchu akabaki Israel.

NB: Kata mishahara hao wajinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…