Ligi Kuu Bara : Simba SC vs Azam FC

ndetichia hivi huyu jamaa yupo hai kweli? Wadau wapika maandazi tupeni msaada wa kujua kama yupo au alisharudisha namba kwamba Sir God
 
Kituko refa anachezesha mpira huku kadi kazisahau kwa mwamuzi msaidizi
 
Half Time :
Kama vipi watoke bila kufungana, Yanga tuendelee kuwakalia tu. Watu wenyewe wanacheza km mtu na mkwe wake wanaboa.
 
Half Time :
Kama vipi watoke bila kufungana, Yanga tuendelee kuwakalia tu. Watu wenyewe wanacheza km mtu na mkwe wake wanaboa.
Tunakuja kumaliza kazi kipindi cha pili.
 
Mpaka mapumziko Diego bado hajacheka Na nyavu.....how come???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…