Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kessy simwoni vp tena?Huku kwema kabisa dada
Alifungiwa mechi 5Kessy simwoni vp tena?
Kafungiwa na TFF?Alifungiwa mechi 5
TimuKafungiwa na TFF?
Tunakuja kumaliza kazi kipindi cha pili.Half Time :
Kama vipi watoke bila kufungana, Yanga tuendelee kuwakalia tu. Watu wenyewe wanacheza km mtu na mkwe wake wanaboa.
Wanaogopa kukatiana Shanga si unajua Mashost hao. Mtu na shoga yakeHalf Time :
Kama vipi watoke bila kufungana, Yanga tuendelee kuwakalia tu. Watu wenyewe wanacheza km mtu na mkwe wake wanaboa.
Nani kakudanganya??Mikia lazima ikalishwe!
Azam FC kama kawaida yetu tutafunga bao mbili za haraka haraka kipindi cha pili tumalize mchezoTunakuja kumaliza kazi kipindi cha pili.
Jipe matumaini.Azam FC kama kawaida yetu tutafunga bao mbili za haraka haraka kipindi cha pili tumalize mchezo
Simba mwenda pole ndio....
Umesahau Wits na Esperance mbili za haraka haraka tuliwafunga nyumbani na wembe huo huo utatumika kwenu wana-MsimbaziJipe matumaini.
Mpaka mapumziko Diego bado hajacheka Na nyavu.....how come???
Hahahaaah Na Ana hasira haswaMwenye jipu la pajani