barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mtabakia kuisikia champions league na kombe la shirikisho.... Tu.
Hata bila kushiriki...
Maana unakazi kubwa kweli ya kufuta points za yanga na Azam.
"Simba Sc ni chuo cha soka Tanzania" By Freeland
Rekodi yetu huko ni nzuri zaidi yenu. Ushiriki wenu huko ni aibu kwa taifa. Hamjawahi kutufurahisha kama taifa.
Katka miaka mitatu iliyopita nyie mlioshiri hakuna chochote mlichofaidka.. hamuuzi wachezaji nje ya nchi, mkijitahidi mnaishia 2nd round.. yani mpo mpo tu.
Simba Sc tukitia maguu moto wetu ni hadi fainali, hivi sasa tunaandaa timu ya kupambana na si kushiriki kama mnavyofanya.
Aisee naunga mkono hii hoja, alafu kuna vitoto vya simba vingine, ni shiiider navyo! Vimewakalisha wenzao jana wa Yanga!
Tunacho angalia ni pesa tu.... Kadri unavyoshiriki club inaingiza fedha ambazo zinafaidisha hata wachezaji...!
Ndio maana tuna lipa vizuri wachezaji kushinda nyinyi mnavyolipa wakina Singano...!
Hata Chelsea alifungwa na Spurs... Lakini bado Mwanaume anashika usukani wa ligi Kuu England..!
Spurs alipunguza tu spidi...! Lakini mwendo ni ule ule..!
Haaa Haa.. Lini mlifika fainali katika michuano ya kimataifa...!
Au unazungumzia fainali za mapinduzi cup..?
Ligi tu inawashinda sembuse club bingwa au shirikisho...!
Tunacho angalia ni pesa tu.... Kadri unavyoshiriki club inaingiza fedha ambazo zinafaidisha hata wachezaji...!
Ndio maana tuna lipa vizuri wachezaji kushinda nyinyi mnavyolipa wakina Singano...!
"Goli nililofunga nadedicate kwa wanawake wote maana leo ni siku yao. Nawapenda wanawake wote" By Emannuel Okwi
Mwaka 1993:
Tulifika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa.
Mwaka 2003:
Tulifika hatua ya makundi Club Bingwa.
Nijuze mafanikio yenu tafadhari?!
Ama kweli sishangai Aden Rage kuwaita ninyi mambumbumbu.. Hivi mnajua maana ya mafanikio kwenye tasnia ya soka...?
Labda inawezekana mafanikio kwenu nyinyi ni kushiriki katika michuano fulani, kama mnavyoshiriki ligi Kuu Bongo.
Mafanikio katika ngazi ya club ni kutwaa Ubingwa mara nyingi iwezekanavyo.
Mafanikio katika ngazi ya kimataifa ni kutwaa ubingwa
Simba na Yanga hakuna walichofanikiwa kimataifa.
Ila mavuno ni mengi sana kwa yanga kutokana na pesa wazipatazo kwa kushiriki.
Tangia umfunge Leicester (wa Bongo) goli tano , basi unafikiri utamfunga Yanga FC ...!
Unaota wakati hata kocha wako anakuona taahira la kuingizwa fungulia mbwa kila mechi.
Eti Professional labda ya kubleed Ebola.
Ama kweli sishangai Aden Rage kuwaita ninyi mambumbumbu.. Hivi mnajua maana ya mafanikio kwenye tasnia ya soka...?
Labda inawezekana mafanikio kwenu nyinyi ni kushiriki katika michuano fulani, kama mnavyoshiriki ligi Kuu Bongo.
Mafanikio katika ngazi ya club ni kutwaa Ubingwa mara nyingi iwezekanavyo.
Mafanikio katika ngazi ya kimataifa ni kutwaa ubingwa
Simba na Yanga hakuna walichofanikiwa kimataifa.
Ila mavuno ni mengi sana kwa yanga kutokana na pesa wazipatazo kwa kushiriki.
Taratibu anaanza kupata nafuu.Naaaaam, naona dawa bado inaingia, tulia hivyo hivyo!
Mf. Taifa Stars ikafuzu World Cup 2018, ikagongwa may be 5-0 na urusi, 8-0 na brazil, 3-3 na oman.. kisha ikatolewa.. unataka kusema hayo si mafanikio??
Kwa nchi kama Tz ambayo ipo chini sana katika viwango vya soka, kushiriki michuano ya CAF, CHAN au World Cup na kutolewa hatua ya makundi au club ya nchini kwake kufika hatua ya fainali au makundi katka michuano mikubwa ya Africa ni mafanikio makubwa sana.