Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Mtabakia kuisikia champions league na kombe la shirikisho.... Tu.
Hata bila kushiriki...
Maana unakazi kubwa kweli ya kufuta points za yanga na Azam.

Rekodi yetu huko ni nzuri zaidi yenu. Ushiriki wenu huko ni aibu kwa taifa. Hamjawahi kutufurahisha kama taifa.
 
Tunacho angalia ni pesa tu.... Kadri unavyoshiriki club inaingiza fedha ambazo zinafaidisha hata wachezaji...!

Ndio maana tuna lipa vizuri wachezaji kushinda nyinyi mnavyolipa wakina Singano...!
 
Katka miaka mitatu iliyopita nyie mlioshiri hakuna chochote mlichofaidka.. hamuuzi wachezaji nje ya nchi, mkijitahidi mnaishia 2nd round.. yani mpo mpo tu.
Simba Sc tukitia maguu moto wetu ni hadi fainali, hivi sasa tunaandaa timu ya kupambana na si kushiriki kama mnavyofanya.

Haaa Haa.. Lini mlifika fainali katika michuano ya kimataifa...!
Au unazungumzia fainali za mapinduzi cup..?

Ligi tu inawashinda sembuse club bingwa au shirikisho...!
 
Hata Chelsea alifungwa na Spurs... Lakini bado Mwanaume anashika usukani wa ligi Kuu England..!

Spurs alipunguza tu spidi...! Lakini mwendo ni ule ule..!
 
Aisee naunga mkono hii hoja, alafu kuna vitoto vya simba vingine, ni shiiider navyo! Vimewakalisha wenzao jana wa Yanga!

Simba B wapowaona kina isihaka, mkude, messi, mamyika jr n.k waliokua nao, hivi sasa waking'aa timu ya wakubwa, wanapata moyo na kujituma zaidi.. Naamini misimu miwili ijayo Simba itakua na graduate wa Simba B zaidi ya 5 katika 1st eleven.
Wacha Ndala waendelee kukusanya ma reject, veteran, magarasa katka timu yao.
 
Tunacho angalia ni pesa tu.... Kadri unavyoshiriki club inaingiza fedha ambazo zinafaidisha hata wachezaji...!

Ndio maana tuna lipa vizuri wachezaji kushinda nyinyi mnavyolipa wakina Singano...!

Mnalipa mazee vizuri, alafu jana yanakalishwa na vitoto, nini cha kujivunia hapo? Basi mmegeuka taasisi ya wachumia tumbo!
 
Hata Chelsea alifungwa na Spurs... Lakini bado Mwanaume anashika usukani wa ligi Kuu England..!

Spurs alipunguza tu spidi...! Lakini mwendo ni ule ule..!

Kweli bado umepagawa, utapunguzaje spidi alafu mwendo uwe vile vile, unaelewa usemacho!
 
"Goli nililofunga nadedicate kwa wanawake wote maana leo ni siku yao. Nawapenda wanawake wote" By Emannuel Okwi
 
Haaa Haa.. Lini mlifika fainali katika michuano ya kimataifa...!
Au unazungumzia fainali za mapinduzi cup..?

Ligi tu inawashinda sembuse club bingwa au shirikisho...!

Mwaka 1993:
Tulifika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa.

Mwaka 2003:
Tulifika hatua ya makundi Club Bingwa.

Nijuze mafanikio yenu tafadhari?!
 
Tunacho angalia ni pesa tu.... Kadri unavyoshiriki club inaingiza fedha ambazo zinafaidisha hata wachezaji...!

Ndio maana tuna lipa vizuri wachezaji kushinda nyinyi mnavyolipa wakina Singano...!

Pesa huanza kuingia katka a/c ya timu, pale timu inapoingia hatua ya makundi.
 
Mwaka 1993:
Tulifika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa.

Mwaka 2003:
Tulifika hatua ya makundi Club Bingwa.

Nijuze mafanikio yenu tafadhari?!

Ama kweli sishangai Aden Rage kuwaita ninyi mambumbumbu.. Hivi mnajua maana ya mafanikio kwenye tasnia ya soka...?

Labda inawezekana mafanikio kwenu nyinyi ni kushiriki katika michuano fulani, kama mnavyoshiriki ligi Kuu Bongo.

Mafanikio katika ngazi ya club ni kutwaa Ubingwa mara nyingi iwezekanavyo.
Mafanikio katika ngazi ya kimataifa ni kutwaa ubingwa

Simba na Yanga hakuna walichofanikiwa kimataifa.

Ila mavuno ni mengi sana kwa yanga kutokana na pesa wazipatazo kwa kushiriki.
 
Hata kama angemfunga [japo haiwezekani], tulitegemea na tunaendelea kutegemea raundi ijayo lazma aage mashindano.
 
Ama kweli sishangai Aden Rage kuwaita ninyi mambumbumbu.. Hivi mnajua maana ya mafanikio kwenye tasnia ya soka...?

Labda inawezekana mafanikio kwenu nyinyi ni kushiriki katika michuano fulani, kama mnavyoshiriki ligi Kuu Bongo.

Mafanikio katika ngazi ya club ni kutwaa Ubingwa mara nyingi iwezekanavyo.
Mafanikio katika ngazi ya kimataifa ni kutwaa ubingwa

Simba na Yanga hakuna walichofanikiwa kimataifa.

Ila mavuno ni mengi sana kwa yanga kutokana na pesa wazipatazo kwa kushiriki.

Mf. Taifa Stars ikafuzu World Cup 2018, ikagongwa may be 5-0 na urusi, 8-0 na brazil, 3-3 na oman.. kisha ikatolewa.. unataka kusema hayo si mafanikio??
Kwa nchi kama Tz ambayo ipo chini sana katika viwango vya soka, kushiriki michuano ya CAF, CHAN au World Cup na kutolewa hatua ya makundi au club ya nchini kwake kufika hatua ya fainali au makundi katka michuano mikubwa ya Africa ni mafanikio makubwa sana.
 
Nyongeza: Hata nyinyi kufika 2nd raundi ya michuano ya Shirikisho ni mafanikio makubwa kwenu.. maana tulishazoea kuwaona mnaishia raundi ya 1.
 
Mf. Taifa Stars ikafuzu World Cup 2018, ikagongwa may be 5-0 na urusi, 8-0 na brazil, 3-3 na oman.. kisha ikatolewa.. unataka kusema hayo si mafanikio??
Kwa nchi kama Tz ambayo ipo chini sana katika viwango vya soka, kushiriki michuano ya CAF, CHAN au World Cup na kutolewa hatua ya makundi au club ya nchini kwake kufika hatua ya fainali au makundi katka michuano mikubwa ya Africa ni mafanikio makubwa sana.

Ufinyu wa mawazo na akili yako na pia uvivu wa kufukiria ndivyo vitakavyo kufanya udhani hayo ni mafanikio.
(Africa imejaa watu wengi kama wewe, ndio maana huto kuja kuona Africa inachukua kombe la Dunia hata kwa bahati mbaya)

Ndio maana mmeridhika kushiriki ligi na kuhakikisha mnamfunga yanga tu hata kama ubingwa hamchukui...!

Wenzako wanafikiria mbele zaidi.!!!! Katika kupata uzoefu wa michuano ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom