Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

mi nshamsoma huyu
kaanza kushabikia mpir a baada ya stendi united na mbeya city kuingia kwenye ligi

kwa sababu unaipenda simba na mimi nakupenda tuuuuu
hahaahahahahahahahhaha
hahahahahaahahhahahahahahha
hahahaahahahahahahahahahahahaahahahahahha
Rahaaaaaaaa
Simbaaaaaaa
Simbaaaaa
Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr Grrrrrrrrrrrrrrr Grrrrrrrrrrrrrrrr
 

Haya bhana sisi tunamsubiri UBINGWA kwa hamu sana...
Sasa wewe ndugu yetu ulikuwa unasuburi goli 1 kwa hamu.

Unachekesha kijana.!
😁😁😁😁
 
kwa sababu unaipenda simba na mimi nakupenda tuuuuu
hahaahahahahahahahhaha
hahahahahaahahhahahahahahha
hahahaahahahahahahahahahahahaahahahahahha
Rahaaaaaaaa
Simbaaaaaaa
Simbaaaaa
Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr Grrrrrrrrrrrrrrr Grrrrrrrrrrrrrrrr

hahhhaaaaaaassasaaaaaaq😀😀😀😀😀😀
 
Kama kawa usajili ukikaribia tunapiga hodi Simba....

Tunaangalia Mchezaji gani anatufaa...

Tunamwambia anataka kulipwa kiasi gani...

Anakubaliwa na kuchukuliwa.. Kama kawaida yetu.

Tengenezeni Yanga tunakuja.!!!!
 
tungewafunga mngeshuka daraja na sisi tungekosa mtani...

Dah ni bora umewaambia maana wamefurahi kweli..

Bado tunawahitaji.....

Wabaki ligi Kuu, watengeneza wachezaji nasi twende kubeba...!!!
 
Kama kawa usajili ukikaribia tunapiga hodi Simba....

Tunaangalia Mchezaji gani anatufaa...

Tunamwambia anataka kulipwa kiasi gani...

Anakubaliwa na kuchukuliwa.. Kama kawaida yetu.

Tengenezeni Yanga tunakuja.!!!!

Na tukikutana tunawatafuna
Tunatafuna tu
Yanga wake zetu bana
Tunajilia tunavyotaka

ahahahahahahahahahahahaha
hahahahahahahahahahaahahahhaahahhahha
hahahahahahahahahhahahahha
hahahaahahahhaahahahahahahahahahah
 
Mtachukua timu nzima na bado tutakata kiherehere. Yanga B jana kanywa 4-2 kwa Simba B .Ushahidi kwamba mtapakatwa sana tu.
 

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha....
 
Last edited by a moderator:
Mnakaririshwa vibaya, next time lazima tuwabutue vibaya hadi mharibikiwe.
Hata mwezi wa 12 mwaka jana mlisema hivyo hivyo, na tumewabutua tena. Tutaendelea kuwabutua mpaka Manji atakapoondoka.
 
Yanga afrika yanga motooooo..kwsha habari ya yeboyebo..ndala kwake choo taifa anatafta nni.!!
 
mnyama alichowafanya watu jana ni kibaya sana. hawakutegemea. ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ndugu yangu Zamiluni Zamiluni nadhani hajamfuatilia vizuri huyu dada, amekuwa na maneno mengi ya kuudhi na kejeli tena akitu-quote. Tulipofungwa na Mbeya City, Stand United tulichukulia kimichezo hata walipotukashifu na kukejeli hatukujibu kwani tulijua hiyo ni sehemu ya mchezo kwani tulijua Yanga nao hawawezi kushinda siku zote. Na hicho ndicho kilichotokea jana Mtani wetu tumemchapa bao moja, kudhihirisha yeye ni mteja wetu miaka 100. Sasa Bantu lady anapaniki mbona wenzake mkolaj, nifah wameingia mitini kimyaaaaa kama hawalioni jukwaa vile.
 
Last edited by a moderator:
Naipenda simba mshabik wa damu. Huu wimbo unekuwa famous sana ule mwingine hela yake alipoteza bure koz mashabik wanajifarijia kupitia headphones za vi tecno mchwara vyao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…