Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
Jamani sasa inaelekea jioni saa 24 baada ya mechi ya watani, nani kamuona Jeni Muro?
AAAAAKejeli za ''Jeni' Muro zilikoleza Utamu wa ushindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani sasa inaelekea jioni saa 24 baada ya mechi ya watani, nani kamuona Jeni Muro?
Una ramboooooo mi nina muwaaaaa....Teh teh teh! Naona matumaini yako juu ya simba yamepanda... Baada ya kumfunga YANGA.!!!
Ulikuwa mpore sana wewe.... Tena ukilaumu viongozi.
Haya bhana endelea kuota ndoto za alinacha.!
Teh teh teh! Naona matumaini yako juu ya simba yamepanda... Baada ya kumfunga YANGA.!!!
Ulikuwa mpore sana wewe.... Tena ukilaumu viongozi.
Haya bhana endelea kuota ndoto za alinacha.!
Miaka miwili wanaweza kumfunga mtu hata bao kumi wale kwa jinsi wanavyotandaza soka la dakika nne bila mpira kuguswa na yeboyebo. Hii raha sanaaaaaa...
mkuu DemiGod hongera sana umepambana nao vya kutosha hawa mbumbumbu sports club!
Wale ndiyo wabaya zaidi zile nne zingepigwa kwa wakubwaHawa yanga wazee sio saizi ya Simba timu kubwa...Tungewaachia simba B tu wangelala
Hhaahahahahahahahahaha
ahahahahahahahahaahahahaha
hahahahahahahahaahahaahhahaha
hahahaahahahahahahahahahahahahhahahahah
Mfalme anatisha.....
Wale ndiyo wabaya zaidi zile nne zingepigwa kwa wakubwa
Nifah hebu cheka kama mzee Akilimali
hahahahahhah
ahahahahahahahahahha
ahahahahaah
ahahahah
Hivi tokea jana mmekula au kulala kweli? Huu uzi mnausongesha nyie kwa spidi ya ajabu!
Yaaani next time tunawabikiri tu...haiwezekani kila siku tunakula mzigo ule ule
hahahahaahahah
hahahahahahah
hahahahaahahahahahahaha
Khaaaaa! Nyie siwawezi kwa matusi ndio maana tokea jana nimejificha.Haya kwaherini endeleeni na matusi yenu.
Ni kawaida kwa humu kwenye media mbona ndio zenu ...tunawajua kwa kucheza magazetini...lakini uwanjani mnakuwa urojo tu
hahahahahahaahahahahah
hahahahahahahahahahhahahhaha
hahahahaahh
ahahahahahahahahahah
Sisi hatuna haja ya kupambana na loosers wa uwanjani
Watu wanaochongaa tu
Mpira hakuna
Angalieni vidume simba wanavyocheza mpira mkubwaaa
Dadeki dakika 5 vijana wanagongeana pasi tu...mnautafuta kwa tochi....
Simba ni chuo cha soka Tanzania
ligi haishindwi kwa mechi moja...tuna angalia aggregate!!