grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Una faida gani ule ubingwa, ambao unashiriki mwaka mzima na ukshnda unapewa milioni 80?
NB: Milioni 80 ndo gharama tulizotumia unguja kumuandaa mnyama ili aje amtafune mwali ndala.
Gharama za kuitoa Simba Dar mpaka Mbeya/Shinyanga hazipungui milioni 10 halafu mwisho wa siku bingwa unampa ml. 80. Hii ndiyo Bongo.
