Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

DemiGod bravo bravo bravo kaka, naona umesimamia show mwanzo mwisho.
Wengine tukipata muda kama hivi tutakusaidia.
Kufungwa kafungwa Babu Seya na muziki unaendelea. Itakuwa Yanga hapa mpaka kombe, tatizo nyotaaaaaaaaa!!!
Watu vinawauma sisi kuongoza ligi, kuwa wawakilishi pekee wa kimataifa.
Mtapasuka tu. Yanga daima mbele nyuma mwiko...
 
Last edited by a moderator:
DemiGod bravo bravo bravo kaka, naona umesimamia show mwanzo mwisho.
Wengine tukipata muda kama hivi tutakusaidia.
Kufungwa kafungwa Babu Seya na muziki unaendelea. Itakuwa Yanga hapa mpaka kombe, tatizo nyotaaaaaaaaa!!!
Watu vinawauma sisi kuongoza ligi, kuwa wawakilishi pekee wa kimataifa.
Mtapasuka tu. Yanga daima mbele nyuma mwiko...

wawakilishi ambao ndugu zetu platnum watawakalsha raundi ijayo?
 
Last edited by a moderator:
Unaonekana hujui masuala ya soka kabisa!!!!!!

Utadhani ni vigezo gani hutumika ku-rank clubs..

Participation katika michuano mikubwa inazingatiwa sana. Tuambiane mara ya mwisho kushiriki hiyo michuano ilikuwa ni lini..?

Kila siku Azam na Yanga.?!
Michuano ipi mikubwa aliyocheza Yanga, au hiyo ya Europa ndogo, Azam anayeshiriki UEFA aseme nini? Europa yenyewe haina tofauti na CECAFA maana ni vitimu vya ajabu ajabu eti Sofanyau ya Kenya, Diamond Platinumz ya Zimbabwe, Makhirkhir ya Botswana.... Hahaaaaaaaaaaaaa choka mbayaaaa.
 
DemiGod bravo bravo bravo kaka, naona umesimamia show mwanzo mwisho.
Wengine tukipata muda kama hivi tutakusaidia.
Kufungwa kafungwa Babu Seya na muziki unaendelea. Itakuwa Yanga hapa mpaka kombe, tatizo nyotaaaaaaaaa!!!
Watu vinawauma sisi kuongoza ligi, kuwa wawakilishi pekee wa kimataifa.
Mtapasuka tu. Yanga daima mbele nyuma mwiko...
Kama nyota tatizo bonyeza reli ndiyo utaifunga Simba.
Wale wakongwe wote wa humu mkiongozwa na Makoye Matale, mkolaj mmeingia mitini mmeliachia toto lenu lisilojua A wala Z linarukia mada lisizojua na kuishia kujipa moyo wa ubingwa wa 2015.
 
Hatimaye Jery muro amepata fursa ya kuuzungumzia mchezo wa ligi kuu kati ya Simba na Yanga; namnukuu; "Kiukwel yanga ndo iliyotengeneza nafas nying za magoli lkn washambuliaj hawakua makin, hta goli walilo tufunga ni la kubahatsha kwan lilikuwa ni la mbali mno"
Daaaaaaah...kwel huyu jamaa bado anae wenge aiseeee, siamin mtu professional km yy anaweza kuongea maneno km hayo...shame on yu J.Muroooo
 
Unategemea tapeli aliyekuwa anatembea na pingu atasema kweli. Kwanza mpira na yeye mbalimbali angeendelea na kazi ya kuwarekodi trafiki wala rushwa.
 
unajua unapobishana na Mayanga yatakushinda.

unajua kwa nini yatakushinda? yana uzoefu waubishi na uongo wakati wewe huwezi hayo mambo. yanauzoefu wa matusi yakifungwa na huwa yanakuwa na kisirani muda wote.support inayopata yanga toka kwa chama na serikali na wafanyabiashara wa madawa ya...yanga haina rekodi ya kutisha mashindano ya kimataifa.

sana sana kwenye kombe la kagame hasa baada ya kuhonga hivi vijitimu maskini vya east afrika. kwenye ligi kinachotokea pia ni hilo jambo.... na ndo maana mcc wamemsimamisha kipa wao baada ya kugundua alihongwa kufungisha. tatizo linakuwa wanapokuja kwa simba wanashindwa nani hasa wa kumhonga.

simba ina wachezaji wengi na kocha huwa hatabiriki na ndo maana unaweza kuta kamweka golini mapunda au manyika hivyo. ukija ndani nako team ya simba haielewek elewek kila mara inaibua wachezaji wapya wadogo wakali. jana mzee akilimali anasema kweli wao ni simba B maana Yanga hawna namna isipokuwa kusubiria kurubuni wachezaji wa simba.

aliuliza kwa nini yanga wasitafute namna nyingine ya kupata wachezaji mpaka wasubirie wachezaji toka simba ambao hawa siku zote huwa wanachukuliwa yanga na baadaye wanaachwa kwa aibu. sasa yanga wenye akili wameanza kujiuliza hili jambo. pesa wanazo, rushwa wanatoa, wana wachezaji wenye kulipwa mamilioni lakini why ni wabovu tu... huyo mliberia aliyeletwa anafanya nini? akina jaja? akina kotinyo? wengine ndo mnawafundisha ushirikina.

mapunda anawachezea akili sana anaingiana taulo wao wana concentrate kwenye taulo wanshindwa kufunga then wanalalamika uchawi. kama mpira ungekuwa uchawi team za tanga,rukwa na bagamoyo zingekuwa zinashinda sana makombe. mbona timu za nigeria na ghana hazishindi kombe la dunia?

mpira ni teknik, saikolojia na utulivu. yanga wanapokutana na simba wanaingia wakiwa wameshashindwa tayari na ndo maana utawaona wana hasira na wamepaniki. kipindi tumewafunga mlisema bonanza sasa kwenye ligi mnadai ninyi mnafikiria kombe tu. sasa kombe lipi lina pesa kati ya MTANI JEMBE NA HILI LA LIGI?

YANGA MBONA HAMFIKIRII KABISA? NINYI MNAFIKIRIA KUPAKATWA TU NA SIMBA acheni UJINGA. uungwana mngesema tu sisi SIMBA TUMEWASHINDWA. mbona kocha alikubali kuwa walizidiwa mbinu na simba ?

ninyi maamuma ndo mnakaa hapa kukaza makalio wakati tayari mmeshajihalishia. huo si ujinga?

mnazuia nini sasa?
 
salamu zimfikie Bantu lady ujumbe mimi na yeye hakuna wa kututenganisha ni kama nywele na kichwa hata ukinyoa zitakuja tu.
 
Last edited by a moderator:
Michuano ipi mikubwa aliyocheza Yanga, au hiyo ya Europa ndogo, Azam anayeshiriki UEFA aseme nini? Europa yenyewe haina tofauti na CECAFA maana ni vitimu vya ajabu ajabu eti Sofanyau ya Kenya, Diamond Platinumz ya Zimbabwe, Makhirkhir ya Botswana.... Hahaaaaaaaaaaaaa choka mbayaaaa.


Vua mawani ya Mbao na vaa hizo glasses angalau Utaelewa ni nini ninamaanisha ninaposema Michuano ya kimataifa.

Au ngoja nikupe somo kidogo, Unaonekana umeanza kushabikia soka miaka ya 1992s.
Tunaposema michuano ya kimataifa ni ile michuano yeyote inayofanyika nje ya mipaka ya ligi... na pia inayotambulika na FIFA.
Mfano ; kombe la shirikisho barani Africa
;kombe la club bingwa barani Africa.

Mbona wewe ulishindwa kumfunga FC LUBOLO... nadhani unakumbuka vyema alichokufanya. Mchovi huyo huyo alikuadabisha.

Vipi kuhusu mechi zenu za Simba Day.... Teh teh Teh! Sasa hivi muwe mnaalika ndanda Fc ili angalau muwe mnashinda.
 
Uzuri furaha yenu huwa haidumu.

Hahahaha...
Ulijuaje hilo... weekend inayokuja utasikia ohh Aveva hafai... anahujumu timu.

Tungoje kidogo.! Hata wao wanalijua hilo ndio maana comment yako haijajibiwa.
 
hayo mashindano huwa mnafika wapi??

Jamani wabongo hebu jaribuni kufungua akili na kuruhusi knowledge kupenya.!

Nilichozungumzia ni participation(USHIRIKI) kwa lugha ya kimombo.

Frequency of participation ndio inakuongezea credits katika level na ranking za CAF.

Umeshawahi kujiuliza kwanini wasauz wanaingiza timu nyingi katika michuano yote miwili kuliko Tanzania.!??

Kamata hiyo na tia akilini!
 
Inaonekana hujui mpira weyeeeee...Unajua kupost tu JF

Hakuna timu ngumu kufungika kama Simba

Wanasambaza kandanda safi lenye kufurahisha

Hivi uliziona zile pasi kwa dakika 5 non stop...Yanga mkautafuta mpira kwa tochi...Unadhani sio chuo hicho?

Acha weeeeeee.....

Kubali kataaa....simba ndio chuo cha soka Tanzania....Umeona vijana wetu walivyowatoa nishai

Unaonekana una ndoto za kuja kuwa kama SHAFIH DAUDA.... Ongera sana.... Azam bado wana shortage ya Analysts. .!
Heti wewe ndio unajua mpira..! lol.

Kikowapi hicho ambacho ni kigumu kukifunga kinachoongoza LIGI...?

Wagumu kufungika wako juu huyo wakiwa na mikono yao imenyooka katika USUKANI...!

Kama Chelsea FC vile....... taratibuuuuu kama hawataki.. wakielekea kubeba NDOO ya UBINGWA.
 
Back
Top Bottom