Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Hatari hatari hatari, raha ya pekee kuwa Yanga. Tunaongoza ligi, mechi ya jumapili ni ya ligi kuu ni kama mechi zozote, kama watu walivyopigwa moja na Stand United.
Heshima ni kuchukua kombe mbele yao. Nimemaliza...

Yanga Football Club ndiye BINGWA wa ligi Kuu Tanzania bara msimu huu.

We ngoja tubebe Kombe mbele yao... Alafu tuone nani mjanja kati anayefurahia kutwaa UBINGWA na anayefurahia points 3.
 
Cheki jamaa wanavyotia huruma, kweli kufungwa nomaa, walivyotoa macho ni kama mjusi kabanwa na mlango.

View attachment 233334

Wanasikitika kupoteza points 3 muhimu ambazo zingewafanya wajikite kileleni zaidi..

Lakini hata hivyo wanaongoza ligi kwa point za kutosha na mechi mkononi.
😝😝😝😝😝😝😝.
 
Wanasikitika kupoteza points 3 muhimu ambazo zingewafanya wajikite kileleni zaidi..

Lakini hata hivyo wanaongoza ligi kwa point za kutosha na mechi mkononi.
😝😝😝😝😝😝😝.

Huyu aliyeshika tama kwenye picha kulia ni wewe nini?Ndio maana unabwajabwaja sana.
Nakupa assignment ya kufanya ingia kwenye Website ya CAF
tafuta nani yupo juu kwenye ranking system ya timu za Africa kati ya Yanga na Simba halafu njoo urudi hapa na jawabu. Hata Azam wapo juu yenu. Domokaya.
 
Mkuu naona unaendelea kutoa darasa la bure kwa huyo mgongo wazi.
 
Ndo mana Taifa Stars kila mechi haifanyi vyema. Sasa ni muda muafaka kuwakabidhi "vijana wa kazi" Simba Sc.

Simba Sc + Thomas Ulimwengu + Mbwana Samata = Taifa Stars = Ushindi Ushindi!

Hiyo list lazima tuingie fainali za Afrika na kuchukua Kombe, tena na lile kombe lilivyo na fedha nyingi kuliko Mtani Jembe lazima Taifa Stars ilichukue tu.

Simba ya Mifwedha bhana, siunakumbuka mwaka 1993 Dewji alipotangaza zawadi za magari ya KIA kwa kila mchezaji kama itachukua kombe la Washindi, nafahamu mkuu unakumbuka nini Simba walifanya na hakuna timu yenye uwezo wa kufikia urefu wa rekodi hiyo.
 
Kipindi hicho hizo gari zilikua za mkwanja wa kutosha.. Dah Mkuu umenikumbusha mbali sana.. alafu mi ndala inasema Mnyama ana ukata?! Ila nachoamini soon tutarudia tena mambo yetu ya mwaka 1993.
 
Visonoko vimeanza kuibuka kama senene. Mtaikoma Simba kila mkiingiza nyaa inapakatwa. Hasira haisaidii. Nunue kamba mjitundike. Kuzimia tu sio fashion tena.

Hahahahaaaaaa...yanga fasheni ya kuzimia na kutuchafulia hewa imepitwa na wakati ingekuwa vyema wakaanza kufa kabisa tuondokane na adha ya harufu ya ushuzi viwanjani.
 
Ni Simba pekee mwenye uwezo wa kumpiga mabao mtani wake mechi zote mbili za ligi kuu na kuchukua ubingwa. Hilo unalolisema wewe ni ndoto za alinacha, Mnyama anachukua kombe lake mwaka huu wakati mdogo wetu Azam anachukua ya pili.
 
Huyu aliyeshika tama kwenye picha kulia ni wewe nini?Ndio maana unabwajabwaja sana.
Nakupa assignment ya kufanya ingia kwenye Website ya CAF
tafuta nani yupo juu kwenye ranking system ya timu za Africa kati ya Yanga na Simba halafu njoo urudi hapa na jawabu. Hata Azam wapo juu yenu. Domokaya.

Unaonekana hujui masuala ya soka kabisa!!!!!!

Utadhani ni vigezo gani hutumika ku-rank clubs..

Participation katika michuano mikubwa inazingatiwa sana. Tuambiane mara ya mwisho kushiriki hiyo michuano ilikuwa ni lini..?

Kila siku Azam na Yanga.?!
 
Attachments

  • 1425980302358.jpg
    1425980302358.jpg
    9.8 KB · Views: 32
Leta hiyo ranking mkuu acha ushuzi huwezi au umekuta haipo unavyodhani wewe?
 
Inaonekana hujui mpira weyeeeee...Unajua kupost tu JF

Hakuna timu ngumu kufungika kama Simba

Wanasambaza kandanda safi lenye kufurahisha

Hivi uliziona zile pasi kwa dakika 5 non stop...Yanga mkautafuta mpira kwa tochi...Unadhani sio chuo hicho?

Acha weeeeeee.....

Kubali kataaa....simba ndio chuo cha soka Tanzania....Umeona vijana wetu walivyowatoa nishai

Ile style ya gonga ya dakika 5 bila mpira kuguswa na yeboyebo inaitwa 'Sambaza Upendo'. Simba waliionesha kwa ajili ya ndugu zetu Albino.
 
Unaonekana hujui masuala ya soka kabisa!!!!!!

Utadhani ni vigezo gani hutumika ku-rank clubs..

Participation katika michuano mikubwa inazingatiwa sana. Tuambiane mara ya mwisho kushiriki hiyo michuano ilikuwa ni lini..?

Kila siku Azam na Yanga.?!

hayo mashindano huwa mnafika wapi??
 
Katika vitabu vya kumbukumbu vya FIFA.... jina la Dar Young Africa ndilo litakaloandikwa kama mabingwa wa soka la Tanzania kwa msimu wa 2014/15.

Sidhani kama Sepp Blater ataandika matokeo ya simba na Yanga ya tar 8/3 /15. Katika kitabu kitakatifu cha soka ulimwenguni.

Ahh ah!!
😁😁😁😁😁😁😁

Hapa si bure, tunaweza kuwa tunajibizana na mgonjwa mahututi toka Mirembe Hosp.
 
Kipanya anataka watu wazimie tena.
 
Attachments

  • 1425981739390.jpg
    1425981739390.jpg
    36.8 KB · Views: 96
Wachezaji wa yeboyebo wamekiri walifungwa na Simba kutokana na vitisho kutoka vizee vyao.
Wamesema vizee hivyo viliibuka kambini usiku wa manane vikawaambia Vimechoshwa na mashabiki wao kufa kwa presha uwanjani kutokana na kufungwa na Simba kila wakikutana nao.
 
Back
Top Bottom