demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #1,181
Hatari hatari hatari, raha ya pekee kuwa Yanga. Tunaongoza ligi, mechi ya jumapili ni ya ligi kuu ni kama mechi zozote, kama watu walivyopigwa moja na Stand United.
Heshima ni kuchukua kombe mbele yao. Nimemaliza...
Yanga Football Club ndiye BINGWA wa ligi Kuu Tanzania bara msimu huu.
We ngoja tubebe Kombe mbele yao... Alafu tuone nani mjanja kati anayefurahia kutwaa UBINGWA na anayefurahia points 3.