hivi ndala game yao ya kesho na ruvu bado wana msimamo hawashushi tim taifa???
DemiGod bravo bravo bravo kaka, naona umesimamia show mwanzo mwisho.
Wengine tukipata muda kama hivi tutakusaidia.
Kufungwa kafungwa Babu Seya na muziki unaendelea. Itakuwa Yanga hapa mpaka kombe, tatizo nyotaaaaaaaaa!!!
Watu vinawauma sisi kuongoza ligi, kuwa wawakilishi pekee wa kimataifa.
Mtapasuka tu. Yanga daima mbele nyuma mwiko...
Michuano ipi mikubwa aliyocheza Yanga, au hiyo ya Europa ndogo, Azam anayeshiriki UEFA aseme nini? Europa yenyewe haina tofauti na CECAFA maana ni vitimu vya ajabu ajabu eti Sofanyau ya Kenya, Diamond Platinumz ya Zimbabwe, Makhirkhir ya Botswana.... Hahaaaaaaaaaaaaa choka mbayaaaa.Unaonekana hujui masuala ya soka kabisa!!!!!!
Utadhani ni vigezo gani hutumika ku-rank clubs..
Participation katika michuano mikubwa inazingatiwa sana. Tuambiane mara ya mwisho kushiriki hiyo michuano ilikuwa ni lini..?
Kila siku Azam na Yanga.?!
Kwani furaha yetu ametusababishia nani?Uzuri furaha yenu huwa haidumu.
Mkuu unapoteza muda na furaha yako ya kumshikisha mtu ukuta kwa kulisikiliza hilo mbumbumbu la yeboyebo.Leta hiyo ranking mkuu acha ushuzi huwezi au umekuta haipo unavyodhani wewe?
Kama nyota tatizo bonyeza reli ndiyo utaifunga Simba.DemiGod bravo bravo bravo kaka, naona umesimamia show mwanzo mwisho.
Wengine tukipata muda kama hivi tutakusaidia.
Kufungwa kafungwa Babu Seya na muziki unaendelea. Itakuwa Yanga hapa mpaka kombe, tatizo nyotaaaaaaaaa!!!
Watu vinawauma sisi kuongoza ligi, kuwa wawakilishi pekee wa kimataifa.
Mtapasuka tu. Yanga daima mbele nyuma mwiko...
Kweli kabisa mkuu.
Michuano ipi mikubwa aliyocheza Yanga, au hiyo ya Europa ndogo, Azam anayeshiriki UEFA aseme nini? Europa yenyewe haina tofauti na CECAFA maana ni vitimu vya ajabu ajabu eti Sofanyau ya Kenya, Diamond Platinumz ya Zimbabwe, Makhirkhir ya Botswana.... Hahaaaaaaaaaaaaa choka mbayaaaa.
hayo mashindano huwa mnafika wapi??
Inaonekana hujui mpira weyeeeee...Unajua kupost tu JF
Hakuna timu ngumu kufungika kama Simba
Wanasambaza kandanda safi lenye kufurahisha
Hivi uliziona zile pasi kwa dakika 5 non stop...Yanga mkautafuta mpira kwa tochi...Unadhani sio chuo hicho?
Acha weeeeeee.....
Kubali kataaa....simba ndio chuo cha soka Tanzania....Umeona vijana wetu walivyowatoa nishai