Mimi ni mashabiki DAMU, wala si mwana chama hai wa Yanga Fc.
Kama hamjali kufungwa na Simba na sio muhimu kwanini mnazimia na kufukuzana kwenye mechi dhidi ya Simba na sio kwa timu zingine? Denial ni strategy nzuri ya kupunguza maumivu. Rais wenu Manji kapata kichaa anashtaki watu ovyo. Kwanini kwenye mechi dhidi ya Simba ndio inauma zaidi mkifungwa.
Mnapokuwa na Team inamwabudu huyu Mhindi usitegemee hata akili za mashabiki zitakuwa ni nzima. mi huwa naona watu wakipiga magoti kumwabudu Mungu. Lakini Mayanga huwa yanamwabudu Manji na ndo maana anachotaka yeye ndo huwa. Hakuna ambaye huwa anamhoji Manji. Si mwanaume si mwanamke. Manji akisema simtaki flan basi huyo mtu anatolewa akisema Yanga niifanye kitu flan anaifanya anadhindwa anapokutana na Simba tu na hili ndil linalomnyima usingizi Manji. Hapa hawa wazee wanapiga magoti wakilia na kuomboleza Manji apewe tena Uenyekiti maana bila yeye Team itakufa.
View attachment 233663
Yanga hata mkitwaa ubingwa mara mia tano...hauwasaidii chochote kwa sababu mkifika raundi ya pili tu mnatolewa kama itakavyokuwa jumamosi....Tutawacheka sana
Azam FC hao ni ndugu zetu...tunawaombea sana waendelee kujitahidi watafika mbali.
SIMBA ni timu ambayo imejaza vikombe na pesa zaidi kuliko klabu yoyote ya Tanzania kwa mwaka 2014
Ushabiki wa kujiua fanya na wajinga wenzako. Mimi najua football ni game of chance sizimii wala kujitoa fahamu. Umewahi kusikia shabiki mzungu wa hizo timu kajiua? Au ujinga huo unaoutetea upo kwetu tu? Kuzimia au kujiua ni ujinga usio na justification yeyote.
Wewe ni mashabiki? Si ulikuwa unaongelea katiba wewe?Na sio hata mwanachama? Ujinga class one. Hivi katiba inasemaje tena?
Ndugu,
Nilikuwa nakuamini lakini sasa nakutilia shaka kidogo.
Idadi ya Makombe kabatini mwa
1.YANGA ni Thelathini na mbili( 23)
2.SIMBA ni kumi na nane (18 )
Usijishushe sana, nakuamini lakini.
Sishangai kuona Hujui Lolote linalo husu Katiba ya Simba, kwa sababu unatakiwa uwe mwana chama hai na pia uwe umesajiliwa katika kikundi kimoja wapo cha ushangiliaji kama vile MpiraPesa au WekunduWaMsimbazi.
Kama hamjali kufungwa na Simba na sio muhimu kwanini mnazimia na kufukuzana kwenye mechi dhidi ya Simba na sio kwa timu zingine? Denial ni strategy nzuri ya kupunguza maumivu. Rais wenu Manji kapata kichaa anashtaki watu ovyo. Kwanini kwenye mechi dhidi ya Simba ndio inauma zaidi mkifungwa.
Nyie mna kikombe gani recent?
Sasa hilo swali hata ikimuuliza Aveva na Kaburu ambao hawaipendi Yanga Fc wayakujibu.....
Unapofuatilia tasnia yeyote unatakiwa uwe na info za kutosha kabla hujaamua kuvamia mabishano.
Kama umikosa Jibu la swali lako waulize wenzako ambao ni wapenda soka, na sio wapenzi wa club .
Nyie timu yenu ilivuma miaka ya 1970s na kwa bahati mbaya hukupata nafasi ya kushuhudia.
Jibu rahisi ni kwamba huwezi mchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano.
..!
Huwezi according to who?
Freeland
Lazima ukaukiwe na maneno..... Kwa kuwa unatambua furaha yako ni temporary.
Wenye furaha ya kudumu wanajiamini kama mimi hapa...!
Mwisho wa siku mimi nabeba NDOO na wewe sijui utabaki ukikumbuka kagoli kamoja ulikomfunga YANGA FC utabakia.
Live long Yanga!
Achana na huyo Jane Muro kusoma kwenyewe kunampa tabu.Anaambiwa 2014 anakurupuka kujibu bila kusoma.