Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Kama hamjali kufungwa na Simba na sio muhimu kwanini mnazimia na kufukuzana kwenye mechi dhidi ya Simba na sio kwa timu zingine? Denial ni strategy nzuri ya kupunguza maumivu. Rais wenu Manji kapata kichaa anashtaki watu ovyo. Kwanini kwenye mechi dhidi ya Simba ndio inauma zaidi mkifungwa.
 
Wanachama kazi ku panic tu including you case closed. Najadili na mtu aliyepanic.
 
Kama hamjali kufungwa na Simba na sio muhimu kwanini mnazimia na kufukuzana kwenye mechi dhidi ya Simba na sio kwa timu zingine? Denial ni strategy nzuri ya kupunguza maumivu. Rais wenu Manji kapata kichaa anashtaki watu ovyo. Kwanini kwenye mechi dhidi ya Simba ndio inauma zaidi mkifungwa.

Mawazo yako yanani aminisha kuwa wewe bado ni Mchanga/mmbichi katika Masuala ya soka..........

Wewe unashangaa shabiki kuzimia...?
Je unatambua mashabiki wa Man United na Arsenal waliojiua...?

Kijana mimi nakushauri uwe MPENZI wa tasnia ya soka Usipende kuwa SHABIKI ktk soka.
 
Ushabiki wa kujiua fanya na wajinga wenzako. Mimi najua football ni game of chance sizimii wala kujitoa fahamu. Umewahi kusikia shabiki mzungu wa hizo timu kajiua? Au ujinga huo unaoutetea upo kwetu tu? Kuzimia au kujiua ni ujinga usio na justification yeyote.
 
Mnapokuwa na Team inamwabudu huyu Mhindi usitegemee hata akili za mashabiki zitakuwa ni nzima. mi huwa naona watu wakipiga magoti kumwabudu Mungu. Lakini Mayanga huwa yanamwabudu Manji na ndo maana anachotaka yeye ndo huwa. Hakuna ambaye huwa anamhoji Manji. Si mwanaume si mwanamke. Manji akisema simtaki flan basi huyo mtu anatolewa akisema Yanga niifanye kitu flan anaifanya anadhindwa anapokutana na Simba tu na hili ndil linalomnyima usingizi Manji. Hapa hawa wazee wanapiga magoti wakilia na kuomboleza Manji apewe tena Uenyekiti maana bila yeye Team itakufa.

View attachment 233663

Ninaunga mkono, nami pia Nahitaji wawevichaa kupotiliza..!
Ninachopendea uongozi wa Yanga Fc ni kwamba hupenda sana kupuuzia wanachama kama hawa.

Kama nilivyosema hapo mwanzo...
Wanachama vichaa hawatakiwi kupata nafasi isiyo na mipaka..

Sitaki kuja kuona wanachama wakimiliki klabu kimaamuzi.

Aluta Kontinyua..
Uongozi wenye Msimamo..!
 
Yanga hata mkitwaa ubingwa mara mia tano...hauwasaidii chochote kwa sababu mkifika raundi ya pili tu mnatolewa kama itakavyokuwa jumamosi....Tutawacheka sana

Azam FC hao ni ndugu zetu...tunawaombea sana waendelee kujitahidi watafika mbali.

SIMBA ni timu ambayo imejaza vikombe na pesa zaidi kuliko klabu yoyote ya Tanzania kwa mwaka 2014

Ndugu,
Nilikuwa nakuamini lakini sasa nakutilia shaka kidogo.

Idadi ya Makombe kabatini mwa
1.YANGA ni Thelathini na mbili( 23)
2.SIMBA ni kumi na nane (18 )

Usijishushe sana, nakuamini lakini.
 
Ushabiki wa kujiua fanya na wajinga wenzako. Mimi najua football ni game of chance sizimii wala kujitoa fahamu. Umewahi kusikia shabiki mzungu wa hizo timu kajiua? Au ujinga huo unaoutetea upo kwetu tu? Kuzimia au kujiua ni ujinga usio na justification yeyote.

Hivyo basi, usishangae kuzimia....

Kuna watu wanafanya maamuzi ya ajabu kuliko hao wanaozimia.
 
Wewe ni mashabiki? Si ulikuwa unaongelea katiba wewe?Na sio hata mwanachama? Ujinga class one. Hivi katiba inasemaje tena?

Katika klabu yetu ya Yanga, unapewa ruhusa ya kumiliki Kopi ya Katiba ya Klabu hata kama si mwana chama HAI.

Ndio Raha ya kuwa shabiki wa Yanga Fc.

Sishangai kuona Hujui Lolote linalo husu Katiba ya Simba, kwa sababu unatakiwa uwe mwana chama hai na pia uwe umesajiliwa katika kikundi kimoja wapo cha ushangiliaji kama vile MpiraPesa au WekunduWaMsimbazi.

Hii inachekesha sana..!!!
Ni majanga makubwa kuwa shabiki wa Simba.
 
Ndugu,
Nilikuwa nakuamini lakini sasa nakutilia shaka kidogo.

Idadi ya Makombe kabatini mwa
1.YANGA ni Thelathini na mbili( 23)
2.SIMBA ni kumi na nane (18 )

Usijishushe sana, nakuamini lakini.

Hujui kusoma wewe...Nimesema mwaka 2014
 
Sishangai kuona Hujui Lolote linalo husu Katiba ya Simba, kwa sababu unatakiwa uwe mwana chama hai na pia uwe umesajiliwa katika kikundi kimoja wapo cha ushangiliaji kama vile MpiraPesa au WekunduWaMsimbazi.

Unatakiwa na nani?
 
Kama hamjali kufungwa na Simba na sio muhimu kwanini mnazimia na kufukuzana kwenye mechi dhidi ya Simba na sio kwa timu zingine? Denial ni strategy nzuri ya kupunguza maumivu. Rais wenu Manji kapata kichaa anashtaki watu ovyo. Kwanini kwenye mechi dhidi ya Simba ndio inauma zaidi mkifungwa.

Manji yupo pale kusimamia maendeleo na utendaji wa Ligi..

Football ni mchezo wa fair play. Hautakiwi kucheat ili kupata matokeo mazuri.

YANGA FC ni fair play Team...!

Kama wewe ni mfuatiliaji wa soka vizuri, unaweza kusema ni kwanini Juma Abdul hajacheze mechi ya jumapili ...!?

Jibu rahisi ni kwamba huwezi mchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano.

Hivyo basi ngoja aende FIFA ili akapate maelezo ya kuridhisha.

..... Mnajaribu kucheat game ili mpate matokeo mazuri....!
 
Nyie mna kikombe gani recent?

Sasa hilo swali hata ikimuuliza Aveva na Kaburu ambao hawaipendi Yanga Fc wayakujibu.....

Unapofuatilia tasnia yeyote unatakiwa uwe na info za kutosha kabla hujaamua kuvamia mabishano.

Kama umikosa Jibu la swali lako waulize wenzako ambao ni wapenda soka, na sio wapenzi wa club .

Nyie timu yenu ilivuma miaka ya 1970s na kwa bahati mbaya hukupata nafasi ya kushuhudia.
 
Huwezi kujibu wewe

Unapiga porojo kama Jeni Muro
 
Freeland

Lazima ukaukiwe na maneno..... Kwa kuwa unatambua furaha yako ni temporary.

Wenye furaha ya kudumu wanajiamini kama mimi hapa...!

Mwisho wa siku mimi nabeba NDOO na wewe sijui utabaki ukikumbuka kagoli kamoja ulikomfunga YANGA FC utabakia.

Live long Yanga!
 
Last edited by a moderator:
Freeland

Lazima ukaukiwe na maneno..... Kwa kuwa unatambua furaha yako ni temporary.

Wenye furaha ya kudumu wanajiamini kama mimi hapa...!

Mwisho wa siku mimi nabeba NDOO na wewe sijui utabaki ukikumbuka kagoli kamoja ulikomfunga YANGA FC utabakia.

Live long Yanga!

Yanga haina uwezo wa kuchukua kombe...Ikichukua natembea uchi toka mang'ola hadi Katesh
 
Back
Top Bottom