Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Acha simba wajifarague bana ndo mechi pekee waliobakiza,wasipofurahi leo ni mpaka msimu ujao
 
Tangu lini simba akawa mfalme...hujui historia ya timu ya simba ya sasa ngoja nikukumbushe

wakati inaanza ilianzia jina la queen ambalo tafsiri yake ni malkia ikaja. sandalend na badae simba sasa huo simba kuitwa mfalme ilikuwa mwaka gani
Akili za kuambiwa changanya na zako katika mechi nne mfululizo hapa nyuma nani aliobuka mbabe wa ngome... acha ushabiki maandazi bwana
 
Acha simba wajifarague bana ndo mechi pekee waliobakiza,wasipofurahi leo ni mpaka msimu ujao
Sio mpaka msimu ujao yaani histori itaku nzuri sana kwetu dhidi ya wakulima wa jangwani
 
Tangu lini simba akawa mfalme...hujui historia ya timu ya simba ya sasa ngoja nikukumbushe

wakati inaanza ilianzia jina la queen ambalo tafsiri yake ni malkia ikaja. sandalend na badae simba sasa huo simba kuitwa mfalme ilikuwa mwaka gani

Pia alikuja malikia wa nyuki kuwabeba.
 
leo kandambili fc biashara yao itamalizwa na fundi mkuu JONAS MKUDE akisaidia na super attack midfilder NDEMLA.

hahahaha MNYAAMA ni hatari sana
 
Hivi mpaka leo bado kuna watu wanashabikia simba na yanga? dah
 
Ushabiki wa simba na yanga umebaki kwa maboya wa dar tu, huku songea tuko man u
 
Akili za kuambiwa changanya na zako katika mechi nne mfululizo hapa nyuma nani aliobuka mbabe wa ngome... acha ushabiki maandazi bwana

Kweli rage hakukosea alipowaita mambumbumbu, hizo mechi NNE unazozitaja za ligi ziko ngapi? na za mabonanza ziko ngapi?
 
kilalaheri yanga. vijana machachari Ngasa, Msuva, Tambwe, coutinho, Mrwanda bila shaka mtachangia simba kushuka daraja msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…