scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,667
- 926
Tusikimbiane hapo jioni mikia.
Tangu lini tumekimbia sisi ni wababe tu jion tunawapakata hatikimbii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusikimbiane hapo jioni mikia.
Akili za kuambiwa changanya na zako katika mechi nne mfululizo hapa nyuma nani aliobuka mbabe wa ngome... acha ushabiki maandazi bwanaTangu lini simba akawa mfalme...hujui historia ya timu ya simba ya sasa ngoja nikukumbushe
wakati inaanza ilianzia jina la queen ambalo tafsiri yake ni malkia ikaja. sandalend na badae simba sasa huo simba kuitwa mfalme ilikuwa mwaka gani
Sio mpaka msimu ujao yaani histori itaku nzuri sana kwetu dhidi ya wakulima wa jangwaniAcha simba wajifarague bana ndo mechi pekee waliobakiza,wasipofurahi leo ni mpaka msimu ujao
Tangu lini simba akawa mfalme...hujui historia ya timu ya simba ya sasa ngoja nikukumbushe
wakati inaanza ilianzia jina la queen ambalo tafsiri yake ni malkia ikaja. sandalend na badae simba sasa huo simba kuitwa mfalme ilikuwa mwaka gani
Kaa mbali na mnyama hahahaleo kandambili fc biashara yao itamalizwa na fundi mkuu JONAS MKUDE akisaidia na super attack midfilder NDEMLA.
hahahaha MNYAAMA ni hatari sana
Hiyo mechi inachezwa lini?
Ushabiki wa simba na yanga umebaki kwa maboya wa dar tu, huku songea tuko man u
Akili za kuambiwa changanya na zako katika mechi nne mfululizo hapa nyuma nani aliobuka mbabe wa ngome... acha ushabiki maandazi bwana
Hiyo mechi inachezwa lini?