Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

muda si mrefu barabara kuingia national stadium kutokea keko itafungwa hapo karibia na chang'ombe demonstration secondary . hivyo watumiaji wa barabara hiyo watafute another alternative. hali ni shwari. tunasubiri game. let the best team win.

Ambayo ni Simba SC
 
kwa mara nyingine yanga watapewa kazi ya kutafta kocha mwingine!

zile 5 znaweza kuwapata tena
 
Mungu ibariki Yanga na Katavi aseme amen!
 
Last edited by a moderator:
Hii droo ya goli moja. Naiona Kwa mbali. Bagamoyo na Zanzibar nahisi hakuna tofauti
 
Back
Top Bottom