Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

We kweli mbumbumbu au kunauwezekano unaangalia mechi ya Yanga na simba tu.
Kwa msaada tu wakati AC Milan wanachukua UCL 2007 walikuwa watu wa kazi watu wazima. Wakati Man U wanachukua UCL 2008 walikuwepo watu wazima wa kutosha. Hata Brazil iliyochukua kombe la Dunia 2002 watu wazima ndo ilikuwa chachu ya ushindi ukimtoa Gaucho. 2006 kina Canavaro wakabeba World Cup wakiwapiga watu wazima Ufaransa. We uko Dunia gani usiyeyajua haya?

Wewe mbumbumbu taahira la Manji aliyekwambia mchezaji wa ndani wa Bongo anafikisha umri wa Ryan Giggs na Bado anatesa uwanjani atakuwa amekudanganya. Usifananishe Ulaya na wala Kambale wachafu pale jangwani. Hilo Lifuso lenu lililofungisha yale mabao 5 mwaka 2012 sasa hivi linaitwa veteran wakati hata robo tatu ya umri wa Ryan Giggs hajaufikia.
Jipange wewe na mazee yako magalasa yaliyoachwa na Simba wewe ndiyo unaita timu ya ushindi.
 
Mwaka jana Wenger kachukua FA Cup, mwaka huu Simba kachukua Kombe la Mapinduzi. Na msipokua makini hapo kileleni, mwezi May tunaweza ongea mengine.

Waulize toka wamechukua ligi mwaka 2013 wamechukua kombe gani jingine zaidi ya kuinamishwa na Simba kila siku mpaka wamezoea vipigo sasa hivi.
Na mwaka huu nasema Yanga kombe atalisikia Msimbazi au kwa wadogo zetu Chamazi.
Wameshapoteana tayari. Kocha Pluijim tumeshamsend off jana harusi Manji mdau wa Simba ataitangaza muda wowote kuanzia sasa ili wachanganyikiwe zaidi.
Huyu atakuwa kocha wa 3 mfululizo tunafukuzisha tu.
 
Unaota wakati hata kocha wako anakuona taahira la kuingizwa fungulia mbwa kila mechi.
Eti Professional labda ya kubleed Ebola.
 

Attachments

  • 1425868868411.jpg
    1425868868411.jpg
    46.9 KB · Views: 112
Kwani hukufundishwa umoja na wingi au shule uliyosoma mtaala wake ni wa Iraq?

Hiyo ndiyo hoja ya kuileta hapa, rudi kazimie tena uchafue hewa, watu wa mombasa wapo wataikinga.
 

Attachments

  • 1425869865993.jpg
    1425869865993.jpg
    25 KB · Views: 181
  • 1425869885562.jpg
    1425869885562.jpg
    31.5 KB · Views: 182
  • 1425869909403.jpg
    1425869909403.jpg
    84.3 KB · Views: 180
Mapunda yupo Manyika Peter, Shariff Cassilias.Nyie hao wazee waliobakia watacheza misimu mingapi? Na katika kudhihirisha kwamba kwa vijana pia hamtuwezi Simba B 4 Yanga B 2.Hii ni pambano lililotangulia harusi yetu.

Hahahaaaaaa....mzee umewakumbusha machungu ya ile harusi ya mapema mapema. Wale vijana wa Simba B walivyo nuksi na wanavyotafuta nafasi ya kucheza timu ya wakubwa, wangepewa Yanga wale kipigo cha bao 5 kingejirudia tena. Watoto wamewapelekesha Yanga B mwanzo mwisho. Hii sasa Simba inafanya sifaaaaaaaa.
 
Nyie na sisi nani kaongeza kikombe hivi karibuni ktk kabati?

Wana mbao ya hisani isiyo na hata shilingi moja, sana juzi kati kwenye mafuriko imeliwa na mchwa wa bonde la jangwani lililojaa dongo la mfinyanzi tupu. Ukiwaambia wailete hapa hiyo mbao haipo tena, mchwa bhana.....
 
Haujakosea ulivyo edit comment yangu, ila unapo-quote comment yangu uwe unaiacha kama nilivyoiweka mimi!
Wanaoongoza ligi hawana timu bali pesa ya kuhonga!

Simba hakuna makipa kama wa Mbeya city wakupewa buku 5 ili wafungishe.
 
Hivi kwa nini tusiwe tunacheza na Yanga tuu mechi zote?

Ligi itakosa mvuto kama Nani Mtani Jembe.
Kuna siku nilikuwa naongea na Kavishe Brand Manager wa kilimanjaro premium lager, nilimwambia kama hali itaendelea kuwa hivi basi ni vizuri mkatuletea timu nyingine zenye ushindani kutoka nje ya nchi. Maana hapa Tz hakuna mtani wa kutusumbua Simba.
 
Kheeeee kheeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wapenzi wa Yanga wataka kumpiga Msuva (gazeti la leo), kijana wetu aje tuu nyumbani!
 
Yanga ni wakugongwa tu
Bao tano zinatosha kwa afya ya wana simba

Mtabakia kuisikia champions league na kombe la shirikisho.... Tu.
Hata bila kushiriki...
Maana unakazi kubwa kweli ya kufuta points za yanga na Azam.
 
Kheeeee kheeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, wapenzi wa Yanga wataka kumpiga Msuva (gazeti la leo), kijana wetu aje tuu nyumbani!

Ni suala la muda tu, kijana wetu atajumuika na vijana wenzake Simba Sc.
 
Mtabakia kuisikia champions league na kombe la shirikisho.... Tu.
Hata bila kushiriki...
Maana unakazi kubwa kweli ya kufuta points za yanga na Azam.

Katka miaka mitatu iliyopita nyie mlioshiri hakuna chochote mlichofaidka.. hamuuzi wachezaji nje ya nchi, mkijitahidi mnaishia 2nd round.. yani mpo mpo tu.
Simba Sc tukitia maguu moto wetu ni hadi fainali, hivi sasa tunaandaa timu ya kupambana na si kushiriki kama mnavyofanya.
 
Kama yanga wameshindwa kumfunga simba akiwa katika hali hii ????
Tutegemee ni uwakilishi wao kimataifa
 
Back
Top Bottom