grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
We kweli mbumbumbu au kunauwezekano unaangalia mechi ya Yanga na simba tu.
Kwa msaada tu wakati AC Milan wanachukua UCL 2007 walikuwa watu wa kazi watu wazima. Wakati Man U wanachukua UCL 2008 walikuwepo watu wazima wa kutosha. Hata Brazil iliyochukua kombe la Dunia 2002 watu wazima ndo ilikuwa chachu ya ushindi ukimtoa Gaucho. 2006 kina Canavaro wakabeba World Cup wakiwapiga watu wazima Ufaransa. We uko Dunia gani usiyeyajua haya?
Wewe mbumbumbu taahira la Manji aliyekwambia mchezaji wa ndani wa Bongo anafikisha umri wa Ryan Giggs na Bado anatesa uwanjani atakuwa amekudanganya. Usifananishe Ulaya na wala Kambale wachafu pale jangwani. Hilo Lifuso lenu lililofungisha yale mabao 5 mwaka 2012 sasa hivi linaitwa veteran wakati hata robo tatu ya umri wa Ryan Giggs hajaufikia.
Jipange wewe na mazee yako magalasa yaliyoachwa na Simba wewe ndiyo unaita timu ya ushindi.