Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
View attachment 233091
Shikamoo Okwi. Huyu jamaa atatuulia dada zetu.
Shikamoo Okwi. Huyu jamaa atatuulia dada zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nasikia Yanga kule Botswana hakupita bali alipenya kwenda raundi ya pili, na sote tunajua mtu akipenya yule wa upande wa pili anachagua ampige rungu wapi, kama ni mabegani, kisogoni, utosini, makalioni nk. Platinumz atachagua apige wapi.Nyongeza: Hata nyinyi kufika 2nd raundi ya michuano ya Shirikisho ni mafanikio makubwa kwenu.. maana tulishazoea kuwaona mnaishia raundi ya 1.
Simba B wapowaona kina isihaka, mkude, messi, mamyika jr n.k waliokua nao, hivi sasa waking'aa timu ya wakubwa, wanapata moyo na kujituma zaidi.. Naamini misimu miwili ijayo Simba itakua na graduate wa Simba B zaidi ya 5 katika 1st eleven.
Wacha Ndala waendelee kukusanya ma reject, veteran, magarasa katka timu yao.
Yale mandondocha mnayalipa ili yainamishwe na Mnyama kila siku. Hiyo ndoo itakuwa ni ya chooni maana tunajua kandambili kwake ni chooni hata iwe mpya.Hatuwalipi mshahara ili waifunge Simba...!
Tunawalipa ili kuleta ndoo Jangwani..!
Rekodi yetu huko ni nzuri zaidi yenu. Ushiriki wenu huko ni aibu kwa taifa. Hamjawahi kutufurahisha kama taifa.
Endeleeni kuja kuchukua magarasa yetu tunayoyaacha kila msimu ili tuendelee kuwatungua mishedede kila siku. Huo ubingwa waliowapa magarasa ni upi toka mwaka 2013 hata kombe la mbuzi hamna?Akili yetu imefocus kwenye UBINGWA nasio kushughulika na B.
Tukihitaji mchezaji tunakuja kwenu, tunamwaga mkwanja na mtu anamwaga wino.
Nyie ni kama chuo....! Mnatutengenezea sisi tunakuja kuchukua tena kirahisi kabisa!
Endeleeni kututengenezea, tunakuja kuchukua wengine ili watupe UBINGWA msimu unaokuja.
Yale mandondocha mnayalipa ili yainamishwe na Mnyama kila siku. Hiyo ndoo itakuwa ni ya chooni maana tunajua kandambili kwake ni chooni hata iwe mpya.
Kaka pole, japo najua umezoea kuumizwa!Hatushiriki huko ili tulete sifa kwa Tanzania. YANGA si ya watanzania YANGA ni ya wanajangwani.
Tunashiriki ili kuvuna mkwanja zaidi.. Kwa sasa hakuna timu East Africa ya kuchukua taji lolote la kimataifa....!
Endeleeni kuja kuchukua magarasa yetu tunayoyaacha kila msimu ili tuendelee kuwatungua mishedede kila siku. Huo ubingwa waliowapa magarasa ni upi toka mwaka 2013 hata kombe la mbuzi hamna?
Wakati Simba tunachukua vikombe vyenye fedha kama Mtani Jembe x 2, Mapinduzi x 1.
Hahahaha! Uongo mtupu!
Jambo moja ambalo YANGA hawafahamu ni kuwa, kuwa na lundo la matajiri haimananishi kuwa ndiyo kiwango cha YANGA kitaongezeka. Kwa sasa YANGA ina uongozi wa ovyo kuliko wakati mwingine wowote ule.
Ukimuona Okwi mtaarifu namuamkia tena "Shikamoo Okwi".View attachment 233091
Shikamoo Okwi. Huyu jamaa atatuulia dada zetu.