Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

Mnalipa mazee vizuri, alafu jana yanakalishwa na vitoto, nini cha kujivunia hapo? Basi mmegeuka taasisi ya wachumia tumbo!

Hatuwalipi mshahara ili waifunge Simba...!
Tunawalipa ili kuleta ndoo Jangwani..!
 
Nyongeza: Hata nyinyi kufika 2nd raundi ya michuano ya Shirikisho ni mafanikio makubwa kwenu.. maana tulishazoea kuwaona mnaishia raundi ya 1.
Mkuu nasikia Yanga kule Botswana hakupita bali alipenya kwenda raundi ya pili, na sote tunajua mtu akipenya yule wa upande wa pili anachagua ampige rungu wapi, kama ni mabegani, kisogoni, utosini, makalioni nk. Platinumz atachagua apige wapi.
 
Simba B wapowaona kina isihaka, mkude, messi, mamyika jr n.k waliokua nao, hivi sasa waking'aa timu ya wakubwa, wanapata moyo na kujituma zaidi.. Naamini misimu miwili ijayo Simba itakua na graduate wa Simba B zaidi ya 5 katika 1st eleven.
Wacha Ndala waendelee kukusanya ma reject, veteran, magarasa katka timu yao.

Akili yetu imefocus kwenye UBINGWA nasio kushughulika na B.

Tukihitaji mchezaji tunakuja kwenu, tunamwaga mkwanja na mtu anamwaga wino.

Nyie ni kama chuo....! Mnatutengenezea sisi tunakuja kuchukua tena kirahisi kabisa!

Endeleeni kututengenezea, tunakuja kuchukua wengine ili watupe UBINGWA msimu unaokuja.
 
Hatuwalipi mshahara ili waifunge Simba...!
Tunawalipa ili kuleta ndoo Jangwani..!
Yale mandondocha mnayalipa ili yainamishwe na Mnyama kila siku. Hiyo ndoo itakuwa ni ya chooni maana tunajua kandambili kwake ni chooni hata iwe mpya.
 
Rekodi yetu huko ni nzuri zaidi yenu. Ushiriki wenu huko ni aibu kwa taifa. Hamjawahi kutufurahisha kama taifa.

Hatushiriki huko ili tulete sifa kwa Tanzania. YANGA si ya watanzania YANGA ni ya wanajangwani.

Tunashiriki ili kuvuna mkwanja zaidi.. Kwa sasa hakuna timu East Africa ya kuchukua taji lolote la kimataifa....!
 
Akili yetu imefocus kwenye UBINGWA nasio kushughulika na B.

Tukihitaji mchezaji tunakuja kwenu, tunamwaga mkwanja na mtu anamwaga wino.

Nyie ni kama chuo....! Mnatutengenezea sisi tunakuja kuchukua tena kirahisi kabisa!

Endeleeni kututengenezea, tunakuja kuchukua wengine ili watupe UBINGWA msimu unaokuja.
Endeleeni kuja kuchukua magarasa yetu tunayoyaacha kila msimu ili tuendelee kuwatungua mishedede kila siku. Huo ubingwa waliowapa magarasa ni upi toka mwaka 2013 hata kombe la mbuzi hamna?

Wakati Simba tunachukua vikombe vyenye fedha kama Mtani Jembe x 2, Mapinduzi x 1.
 
Mwaka 1993:
Tulifika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa.

Mwaka 2003:
Tulifika hatua ya makundi Club Bingwa.

Nijuze mafanikio yenu tafadhari?!

Hahahaha! Uongo mtupu!
 
Yale mandondocha mnayalipa ili yainamishwe na Mnyama kila siku. Hiyo ndoo itakuwa ni ya chooni maana tunajua kandambili kwake ni chooni hata iwe mpya.

Soma post yangu uelewe vizuri...!

Tunawalipa ili kuleta UBINGWA kwa wanayanga.!
 
Hatushiriki huko ili tulete sifa kwa Tanzania. YANGA si ya watanzania YANGA ni ya wanajangwani.

Tunashiriki ili kuvuna mkwanja zaidi.. Kwa sasa hakuna timu East Africa ya kuchukua taji lolote la kimataifa....!
Kaka pole, japo najua umezoea kuumizwa!
 
Endeleeni kuja kuchukua magarasa yetu tunayoyaacha kila msimu ili tuendelee kuwatungua mishedede kila siku. Huo ubingwa waliowapa magarasa ni upi toka mwaka 2013 hata kombe la mbuzi hamna?

Wakati Simba tunachukua vikombe vyenye fedha kama Mtani Jembe x 2, Mapinduzi x 1.

Ndio hao hao magalasa yanayo tufanya tushike usukani wa ligi Kuu Tanzania...!
Tena kwa point za kutosha na mechi mkononi.!

Hahaha 😁😁😁😁😁 .
 
Jambo moja ambalo YANGA hawafahamu ni kuwa, kuwa na lundo la matajiri haimananishi kuwa ndiyo kiwango cha YANGA kitaongezeka. Kwa sasa YANGA ina uongozi wa ovyo kuliko wakati mwingine wowote ule.
 
Kaka pole, japo najua umezoea kuumizwa!

Ebu check msimamo wa ligi Kuu Tanzania bara...!

Kabla hujaamua kuchagua wa kumpa pole kati ya mgonjwa wa Ukimwi Na Cancer....!

👏👏👏👏.
 
Mvua ikinyesha tuwatoboe hata kwenye kajua kakali hivi pia tuwafarue jaaaamaaaaniiii....😱😕
 
Jambo moja ambalo YANGA hawafahamu ni kuwa, kuwa na lundo la matajiri haimananishi kuwa ndiyo kiwango cha YANGA kitaongezeka. Kwa sasa YANGA ina uongozi wa ovyo kuliko wakati mwingine wowote ule.

Hahahaha unachekesha kweli... Na wewe pia umekuwa mchambuzi wa soka...!

Naamini tungelikuwa na watu watatu tu kama wewe basi Taifa Stars ingelikuwa inashiliki Kombe la dunia.

Tatizo wabongo mmegeuka wataalamu wa soka.. Kumbe hamna lolote.!

Nenda basi mwenzetu ukagombee nafasi ya kutoa ushauri Taifa Stars.. Labda utawasaidia.

Dah wabongo nomaaa!!!!!!
 
Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi Okwi
Migongo wazi kimyaaaaa
 
Back
Top Bottom