[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mbeya city kiukwel walikuwa wanauza mech kwa yanga. Nadhan kutokana na kocha wao mwambusi kuwa na mapenzi na yanga
shwari kabisa. nitaku PMNzuri, mambo vipi.
Tulia wewe kama unanyolewa.Huu mchezo wala hauitaji hasira
Mchezo huu hautaki hasira mkuu, Simba tumeshinda!!!! If you can't beat them, join them!!!!we mbumbumbu acheni kubebwa
Dua la kuku!! Mlisema tunashinda Dar pekeeKuna siku mtakwama....
Umeanza eeh hahahahaa, niko na amani ya moyo. Yanga huwa hatubahatishi na huu ni mpira, una matokeo 3. Kushinda, kushindwa na kutoka sare.Mkuu muache kwanza amalize kulia.....ana majonzi....
Umeanza eeh hahahahaa, niko na amani ya moyo. Yanga huwa hatubahatishi na huu ni mpira, una matokeo 3. Kushinda, kushindwa na kutoka sare.
Kupigwa ni japo bao 1 , hawa wametandikwa .kapigwa tena?
MMEANZA WAKATI MLISUKUMA GARI ALIPORUDI
Kupigwa ni japo bao 1 , hawa wametandikwa .
Hii ni speed ya 4G inashika kotekoteDua la kuku!! Mlisema tunashinda Dar pekee
hii ni aibu sana kwa soka la tanzania,timu inanyimwa penat ya wazi kabisa,simba hii kwa mwendo huu wa kubebwa mnatia aibu sana,mechi tatu zote simba amepewa penat 3
Hii speed Mkodisho FC wanaona mapichapicha tu!!!!!!!!!!!!Hii ni speed ya 4G inashika kotekote
Wewe tatizo Una Makengeza Lakini Ungelikuwa Upo Sawa katika Kuona Basi Ungelimshukuru Refa Kwa Kutokumpiga Kadi Ya Njano Yule Mchezaji Wa Stand Kwa Kosa la Kujiangusha Kwa Makusudi ili amdanganye Refa...
Wanaona chenga chenga.. na magoli yao ya netballHii speed Mkodisho FC wanaona mapichapicha tu!!!!!!!!!!!!