Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

14900549_666037633555255_9107804385132494274_n.jpg
 
Nimeangalia mpira dk kadhaa za yanga vs mbeya city - nakuona magoli yote. Goli alilofungwa yanga la kwanza ni kosa la kipa 100% hakuna ubishi. Na la pili alilofungwa yanga ni halali ni makosa ya walinzi wa yanga kujisahau. Na leo yanga imewangusha sehemu ya ulinzi. Kwa mshangao walizidi kiasi kikubwa mbeya city kipindi cha pili ila JAZBA NA HARAKA imewaangusha yanga sikutegemea wachezaji waliocheza kimataifa kuwa na haraka na jazba kiasi hichi. mchezo wa stendi na simba - simba kacheza taratibu sana leo wana kocha mzuri alitafuta ushindi na kaupata illa stendi timu nzuri ina wachezaji wenye stamina wakiendelea hivi watafanya vizuri msimu huu. goli la simba ni la penalt ya halali kabisa na stendi hawakuwa na bahati tu illa mwamuzi wa mchezo huo alikuwa mzuri japo umri wake mdogo. na alicheza vizuri na stendi haikunyimwa penalt mchezaji alijiangusha na ilikuwa wazi mtazame marudio. yanga bado timu nzuri leo wamefungwa sababu walijiamini sana na ndio mpira. na ligi bado sana kila timu ina nafasi.
 
hii ni aibu sana kwa soka la tanzania,timu inanyimwa penat ya wazi kabisa,simba hii kwa mwendo huu wa kubebwa mnatia aibu sana,mechi tatu zote simba amepewa penat 3

Hahaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!! Unachekesha mkuu
 
Wewe tatizo Una Makengeza Lakini Ungelikuwa Upo Sawa katika Kuona Basi Ungelimshukuru Refa Kwa Kutokumpiga Kadi Ya Njano Yule Mchezaji Wa Stand Kwa Kosa la Kujiangusha Kwa Makusudi ili amdanganye Refa...

Huyo anaona mapichapicha mkuu
 
Back
Top Bottom