Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Ligi kuu bara: Simba yaipitia Stand bila kusimama, Yanga yasalimu amri

Nitake radhi mkuu,mimi ni Yanga damu.
Shabiki la kutupwa sio wa matukio/msimu.
NAIPENDA YANGA
3bcd61ec73b4ffe84a3dbabf673485ab.jpg

Nifah Huruma yangu kwako, pole lakini ndio mpira ulivyo
 
Nifah Huruma yangu kwako, pole lakini ndio mpira ulivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unachekesha sana,huruma ya nini?
Niliipenda mwenyewe wala sikufuata mkumbo/kushawishiwa.
Baba yangu ni shabiki wa kutupwa wa Simba,hakuamini alipogundua mimi ni mtani wake.
Guess what?Ikitokea mechi baina yetu atakayefungwa anamtumia mwenzie zawadi/kumpoza kivyovyote.
 
Unatushabikia bila mwenyewe kujijua
 
MAPUMZIKO
GOOOOOOOO Ngoma anaunganisha krosi ya Msuva vizuri hapa na kuandika bao moja kwa Yanga

-KADI Mbuyu Twite analambwa kadi ya njano kwa kumuangusha Ally Ramadhani
 
SUB Dk 68, Yanga wanamtoa Tambwe na nafasi yake inachukuliwa na Obrey Chirwa
DK 64 sasa, mashambulizi ni kwa zamu na Mbeya City kidogo wanaongeza undava kidogo hasa upande wa walinzi na viungo wakabaji
Dk 59, Msuva anaachia shuti kali hapa lakini linamgonga beki na kuwa konaa, inachongwa haina manufaa
Dk 54, mpira umesimama, Mahundi wa Mbeya City anatibiwa
Dk 52, Niyonzima anawatoka mabeki wawili Mbeya City lakini wanaokoa na kuwa kona, hata hivyo haina matunda
SUB Dk 51, Yanga wanamtoa Kaseke aliyewahi kuichezea Mbeya City na nafasi yake inachukuliwa na Geofrey Mwashiuya
 
Hawa Yeboyebo Ni Wakimataifa Kwahiyo Kufungwa Kwao Ni Kwamba Hawajazoea Kucheza Viwanja Hivi Vya Mchangani.. Wao Wamezoea Kucheza Mechi Za Kimataifa.
 
Endeleeni kutupatia matokeo ya Simba. Hao kandambili hatuna haja nao.
 
Back
Top Bottom