Ligi Kuu Bara: Toto African Vs Simba, Yanga Vs Stand

teh teh teh shughuli zimekuwa nyingi si unajua tumeambiwa hapa kazi tu.. Alafu huu mwisho wa mwaka si unajua tena..

Naona leo Bwashee kakuacha mpaka muda huu unaserebuka na JF tu..
Hahahahahaaaa wewe akili zako sio nzuri.
 
teh teh teh teh zile nzuri si unazijua.. JF ya sikuhizi haina kazi ya kushughulisha akili..

Akina lara 1 sijui wamefia wapi...
 
Last edited by a moderator:

Kabisa,JF ya siku hizi imekuwa kama kijiwe cha ghahawa.

Acha tu,nammiss lara 1 na thread zake zenye akili.
Ila kuna watu wametuahidi thread za funga mwaka kama rubii sijui watazitoa lini.
 
Wakizitoa nitag bana.. Mimi humu napita kwa manati sikuhizi..
 
Tatizo hiyo ya rubii nahisi itaeditiwa na mods tu,si unajuaga vile mastory ya ukweli yanavyokuwaga?
Kwa maneno mengine ni kwamba nae atatoa autobiography yake kama zileeee.
Wasiwasi wangu nisikute imesha editiwa.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo hiyo ya rubii nahisi itaeditiwa na mods tu,si unajuaga vile mastory ya ukweli yanavyokuwaga?
Kwa maneno mengine ni kwamba nae atatoa autobiography yake kama zileeee.
Wasiwasi wangu nisikute imesha editiwa.

wasije wakaleta huo uchawi.. watuache tufunge mwaka vizuri bana..

Sema haka karubii nako kataleta mambo matamu tamu maana ile Avatar yake imewaingiza wengi mkenge hahahahaha
 
Na comments zake je?
Jiandae na notebook kabisa.
Halafu sasa hivi sina ugeni kama zile autobiography zilizopita nilikuwa nashindwa kuunganisha dots faster sababu ya ugeni.....
Naisubirije kwa hamu sasa?
[emoji39] [emoji39]
 
teh teh teh haka kabinti kachokozi sana... Kalikuwa kanaleta thread hapa mpaka mtu unachuchumaa chini usije haribu mazingira mbele za watu..

Hahahahahaaa uwiiiiiiii umenichekesha sana.
 
Wakuu nifah na Steph Curry hongereeni kwa kuchati usiku wa manane huku wengine tukiwa usingizini, tumeamka salama na kukumbuka kuwa:

Yanga 4-0 Stand United
Toto Africans 1-1 Simba SC

Macho yangu hayachoki kutazama matokeo hayo!

CC.Mkuu sembo.
 
Last edited by a moderator:
Kabisa,JF ya siku hizi imekuwa kama kijiwe cha ghahawa.

Acha tu,nammiss lara 1 na thread zake zenye akili.
Ila kuna watu wametuahidi thread za funga mwaka kama rubii sijui watazitoa lini.

jANA NIMEWEKA KITU! Oooh!
 
kwa mtu mwanamichezo anayefatilia matokeo ya simba na Toto hapo CCM kirumba hatashangaa na hayo matokeo...
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nifah na Steph Curry hongereeni kwa kuchati usiku wa manane huku wengine tukiwa usingizini, tumeamka salama na kukumbuka kuwa:

Yanga 4-0 Stand United
Toto Africans 1-1 Simba SC

Macho yangu hayachoki kutazama matokeo hayo!

CC.Mkuu sembo.
Hahahahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
kwa mtu mwanamichezo anayefatilia matokeo ya simba na Toto hapo CCM kirumba hatashangaa na hayo matokeo...

Toto African ipo tayari kufungwa na timu yoyote uwanja wa Kirumba lakini sio kufungwa na Simba,miaka yote Simba huwa anamfunga Toto African uwanja wa Taifa.
 
Wakuu nifah na Steph Curry hongereeni kwa kuchati usiku wa manane huku wengine tukiwa usingizini, tumeamka salama na kukumbuka kuwa:

Yanga 4-0 Stand United
Toto Africans 1-1 Simba SC

Macho yangu hayachoki kutazama matokeo hayo!

CC.Mkuu sembo.

Yanga bado mnanunua mechi tu teh teh teh..

Mimi natafuta timu mpya ya kushabikia.. Bado nayapitia mafaili ya Ndanda na Stendi
 
Mwenye ushahidi wa Yanga kununua mechi apeleke mahakamani, kama hana ushahidi a-shut up! (Lowassa, 2015)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…