Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hahahahahaaaa wewe akili zako sio nzuri.teh teh teh shughuli zimekuwa nyingi si unajua tumeambiwa hapa kazi tu.. Alafu huu mwisho wa mwaka si unajua tena..
Naona leo Bwashee kakuacha mpaka muda huu unaserebuka na JF tu..