Ligi Kuu Bara: Toto African Vs Simba, Yanga Vs Stand

Ligi Kuu Bara: Toto African Vs Simba, Yanga Vs Stand

Casuist

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
1,189
Reaction score
2,970
[TABLE="width: 750, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]1[/TD]
[TD]YOUNG AFRICANS SC[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]27[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]4[/TD]
[TD]SIMBA SPORTS CLUB[/TD]
[TD="align: center"]10[/TD]
[TD="align: center"]22[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]5[/TD]
[TD]STAND UNITED FC[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]19[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: center"]8[/TD]
[TD]TOTO AFRICANS SC[/TD]
[TD="align: center"]11[/TD]
[TD="align: center"]16[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kutoka uwanja wa Kirumba, Mwanza, Toto African watamkaribisha mnyama kutoka Msimbazi na Yanga atamkaribisha Stand united ambae anashikilia na tano katika msimamo wa ligi. Uwanja wa Kirumba una udhaifu wa kuwa na maji leo. Tuwe sote pamoja kujuzana yatakayojiri kutoka viwanjwani

Toto African Vs Simba(Kirumba- Mwanza)
00' Kipenga kimepulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo
04' Kiiza anakosa goli baada ya gonga kadhaa langoni mwa Toto
07' Mpira unakuwa mfupi uliorudishwa kwa kipa baada ya kuzuiwa na maji, hata hivyo kipa aliuwahi
11' Ndemla anakosa goli, alipiga shuti kali na kumbabatiza beki wa toto na kuzaa kona ambayo haikuzaa matunda
14' Toto wanakosa goli baada ya Junior kupiga shuti ambalo lilienda sentimita chache nje ya lango
22' :A S soccer:Goooal, Daniel Lyanga anapachika goli la kuongoza baada ya kunganisha vizuri mpira wa pasi
24' Toto wanakosa goli la kusawazisha baada ya shuti kwenda nje ya lango
27' Toto wanapiga faulo nzuri ilikuwa inaingia goli, Vincent alifanikiwa kuitoa
45+1' Kipindi cha kwanza kimeisha
45' Mpira umerejea kwa kipindi cha pili
59' Kihongera anachukua nafasi ya Kiiza upande wa Simba
90+1'
A%20S%20soccer.gif
Evarist anasawazisha goli kwa mpira wa kichwa, Toto Africa 1-1 Simba

90+2' Mpira umeisha

Goal Update(Taifa)
19'
A%20S%20soccer.gif
Tabwe anaifungia Yanga goli la kwanza, Yanga 1-0 Stand
36'
A%20S%20soccer.gif
Tabwe anaunganisha krosi nzuri iliyopigwa na Juma Abduli na kuingia nyavuni, Yanga 2-0 Stand
45'
A%20S%20soccer.gif
Tambwe anapachika goli la tatu baada ya kupokea pasi nzuri kutoka kwa Ngoma
63'
A%20S%20soccer.gif
Kamusoko anapachika goli la nne upande wa Yanga kwa mpira wa kichwa

 
Asanteni sana Simba kwa kutuzawadia Amisi Tambwe
 
Niko kirumba sikuamini kama timu kubwa kama kushindwa kubadili jezi na kuja hivyo hivyo walivyolowana kipindi cha kwanza ndizo walizokuja nazo kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom