Ligi Kuu Bara: Toto African Vs Simba, Yanga Vs Stand

Ligi Kuu Bara: Toto African Vs Simba, Yanga Vs Stand

Ni dhahiri simba liko tatizo kubwa.Infact simba imefilisika, viongozi kubalini simba iuzwe.wachezaji hawana fedha,hili liko wazi hata kama refa kawaminya.
 
Sister unanikumbusha mtu mmoja anaitwa msagasumu rafiki mkubwa na Nifah km vp sema wooyoo woyo woyoooo!!!!
 
Poa jombaa,mbona umepotea hivyo?
Unaonekana kwa manati kama Magufuli,tofauti na mwanzo......
Heheheheeee

teh teh teh shughuli zimekuwa nyingi si unajua tumeambiwa hapa kazi tu.. Alafu huu mwisho wa mwaka si unajua tena..

Naona leo Bwashee kakuacha mpaka muda huu unaserebuka na JF tu..
 
Back
Top Bottom