Ligi kuu bara: Yanga 3-1 Mtibwa, Mbeya City 0-2 Simba, Stand UTD 1-0 Azam FC

Ligi kuu bara: Yanga 3-1 Mtibwa, Mbeya City 0-2 Simba, Stand UTD 1-0 Azam FC

51f0b56eeae1e3d08f1cbf6aaa183464.jpg
 
Hivi ni miaka mingapi sasa mmegeuka kuwa club ya kushangilia wageni?

Nawaombea msimu huu angalau mshike nafasi ya pili maana hao wachezaji wenu wamechoka kupanda mabasi angalau waonje radha ya ndege.
Hata wakishika nafasi ya pili kucheza michuano ya kimataifa ni mpaka 2018. Samahani lakini watani zangu!
 
Hata wakishika nafasi ya pili kucheza michuano ya kimataifa ni mpaka 2018. Samahani lakini watani zangu!
Bila Samahani.. 2018.. Tutakua tayari kufuta aibu na fedheha kubwa mliyotupatia katka michuano ya kimataifa na mnayoenda kutupatia msimu ujao kama Taifa.
 
FT: Mbeya City 0-2 Simba S.C

Wafungaji; Ajibu na Kichuya

Next Victim; Kagera Sugar

Lini: 15/10/2016.
 
Siyo prison?
Mkuu.. Prisons tulikua tucheze nao Jumamosi ya wiki iliyopita.. ila kutokana na mechi za timu za Taifa ikaairishwa.. Kwa ratiba kamili pitia hapa [emoji116]

1476286371405.jpg
 
Back
Top Bottom