Dk.. 34.. Shiza Kichuya anaongeza goli la 2... Simba 2 Mbeya City 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dk.. 34.. Shiza Kichuya anaongeza goli la 2... Simba 2 Mbeya City 0
Acha kuongea porojo. ...simba taamu sasa hvhii ligi bado mbichi sn, bt huwa napatwa na shida kdogo na mashabiki hasa wa simba kuamin kwamba tayari wamechukua kombe kwan wana kikos kzuri, my take hata msmu uliopta simba walikuwa vzuri sn na walfanya vyema kila kombe huku wakiwa na maneno hayahaya wakiongozwa na manara at ze end....tuache ushbk ligi bado mbichi..sn
Mbeya City 0 Simba 2Vip mbeya
Wamepewa kivipi?Yanga wamepewa goli hapa
WamepewaWamepewa kivipi?
hii ligi bado mbichi sn, bt huwa napatwa na shida kdogo na mashabiki hasa wa simba kuamin kwamba tayari wamechukua kombe kwan wana kikos kzuri, my take hata msmu uliopta simba walikuwa vzuri sn na walfanya vyema kila kombe huku wakiwa na maneno hayahaya wakiongozwa na manara at ze end....tuache ushbk ligi bado mbichi..sn
Uchezaji wa simba ni mzuri kuliko wa Yanga. Mie yanga lkn uchezaji wao utadhani hawajatoka kushiriki mashindano ya kimataifaNi kweli ligi bado mbichi sana.. Maana sasa tumebakiza mechi 22 ligi iishe [mechi 17 ili tutangaze ubingwa].
Ni kweli pia Simba msimu uliopita tulikua na kikosi kizuri.. na tulianza vizuri msimu uliopita.. Ila msimu huu tuna kikosi kizuri zaidi.. na tumeanza ligi vizuri sana.. ndo mana tunakila sababu ya kutembea vifua mbele kama tumepingwa ngumi ya mgongo.
Haha.. Mkuu punguza jazba.. Hii "secret weapon" ililetwa na Vincent Angban.. Tumpe mda.Blagnoni ********,sijui walimuokota wapi
cc Belo Makoye Matale Frank WanjiruUchezaji wa simba ni mzuri kuliko wa Yanga. Mie yanga lkn uchezaji wao utadhani hawajatoka kushiriki mashindano ya kimataifa
Uchezaji wa simba ni mzuri kuliko wa Yanga. Mie yanga lkn uchezaji wao utadhani hawajatoka kushiriki mashindano ya kimataifa
mkuu hili povu umetumia sabuni gani OMo au Foma gold?hii ligi bado mbichi sn, bt huwa napatwa na shida kdogo na mashabiki hasa wa simba kuamin kwamba tayari wamechukua kombe kwan wana kikos kzuri, my take hata msmu uliopta simba walikuwa vzuri sn na walfanya vyema kila kombe huku wakiwa na maneno hayahaya wakiongozwa na manara at ze end....tuache ushbk ligi bado mbichi..sn
Simba wamepewa mawili hapa Mbeya.Yanga wamepewa goli hapa