Mohammad said
Member
- Oct 11, 2016
- 11
- 6
Ligi kuu tz....moto n ule ule kwa mnyama....na yanga ......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakaaje?Azam kakaaa
Wanazungumzia viwanja vibovu mkuu, sokoine ipo vzr waliishakarabati uwanja wao. Km una kumbukumbu hata simba walilalamikia uwanja wa Uhuru je ukikutana na uwanja wa nangwanda itakuwaje?Hawa Mkodisho FC bado wanazidi Kuweweseka Kama Misukule!!!! Walikuwa Wakidai Simba inashinda Kwasababu Haijatoka Nje Ya Dar!! Haya leo Twambieni Mbeya Naye Ni Sehemu Ya Dar??
Mumekuja Na Gia Nyengine eti Tusifurahi Manake Ligi Bado Mbichi!!! Pia Kwetu Simba Si Tatizo Manake Tushaivumbika iive....
Asieamini Kuwa Simba Ni Bingwa Basi Kila la kheri Aende Kumuona Daktari wa Maginjwa ya Akili...
Stand United 1 Azam 0Kakaaje?
aaah we binti geuzwa ulole fc mumeo tupisa mazembe ajambo?Ila mkiletewa Libolo mnakuwa kama Chatu na Mbwa mtani. Mnaenda kwa Bed hata bila kuambiwa Mtani!!!!!
hii ligi bado mbichi sn, bt huwa napatwa na shida kdogo na mashabiki hasa wa simba kuamin kwamba tayari wamechukua kombe kwan wana kikos kzuri, my take hata msmu uliopta simba walikuwa vzuri sn na walfanya vyema kila kombe huku wakiwa na maneno hayahaya wakiongozwa na manara at ze end....tuache ushbk ligi bado mbichi..sn
We yanga au simba?Ki mpira yanga hawajawah kucheza vizur miaka ya karibuni mara ya mwisho ni kipindi cha wakina mwamba kizota baada ya hapo ni madudu tu
We yanga au simba?
Uwekezaji mkubwa matokeo hovyo yaani full kero kwa azamAzam kafungwa 1 kwa 0 na stand united,chama la wana.
Wanatunza nafasi ya wenyewe... Wanakuja kama tsunamiMashabiki na viongozi wa Simba wanachonga mno wasipo angalia nafasi ya Azam ambayo ni ya pili anaweza chukua Stand United na Simba wakabaki nafasi yao ya kila mwaka inajulikana