Hata wakishika nafasi ya pili kucheza michuano ya kimataifa ni mpaka 2018. Samahani lakini watani zangu!Hivi ni miaka mingapi sasa mmegeuka kuwa club ya kushangilia wageni?
Nawaombea msimu huu angalau mshike nafasi ya pili maana hao wachezaji wenu wamechoka kupanda mabasi angalau waonje radha ya ndege.
Mkuu.. Kichuya wamemuumiza, wakidhani watatupunguza kasi.. Ameingia Mo Ibrahimu kuchukua nafasi yake.. Baada ya Mo kuingia ni kama kazi ndo inaanza.Kichuya ongeza bao,tunataka ma3 tu
biashara?
Bila Samahani.. 2018.. Tutakua tayari kufuta aibu na fedheha kubwa mliyotupatia katka michuano ya kimataifa na mnayoenda kutupatia msimu ujao kama Taifa.Hata wakishika nafasi ya pili kucheza michuano ya kimataifa ni mpaka 2018. Samahani lakini watani zangu!
Ila mkiletewa Libolo mnakuwa kama Chatu na Mbwa mtani. Mnaenda kwa Bed hata bila kuambiwa Mtani!!!!!Bila Samahani.. 2018.. Tutakua tayari kufuta aibu na fedheha kubwa mliyotupatia katka michuano ya kimataifa na mnayoenda kutupatia msimu ujao kama Taifa.
Siyo prison?FT: Mbeya City 0-2 Simba S.C
Wafungaji; Ajibu na Kichuya
Next Victim; Kagera Sugar
Lini: 15/10/2016.
Msichoke kuota Mtani! RukhsaSiyo prison?
Mkuu.. Prisons tulikua tucheze nao Jumamosi ya wiki iliyopita.. ila kutokana na mechi za timu za Taifa ikaairishwa.. Kwa ratiba kamili pitia hapa [emoji116]Siyo prison?
Azam vipi matokeo ya mwisho?Mkuu.. Prisons tulikua tucheze nao Jumamosi ya wiki iliyopita.. ila kutokana na mechi za timu za Taifa ikaairishwa.. Kwa ratiba kamili pitia hapa [emoji116]
View attachment 416914
Mkuu.. Bado sijayapataAzam vipi matokeo ya mwisho?