Ligi kuu bara: Yanga 3-1 Mtibwa, Mbeya City 0-2 Simba, Stand UTD 1-0 Azam FC

hebu jazia nyama ueleweke,ndo umeandika nini hapo?
 
Azam kafungwa 1 kwa 0 na stand united,chama la wana.
 
Hawa Mkodisho FC bado wanazidi Kuweweseka Kama Misukule!!!! Walikuwa Wakidai Simba inashinda Kwasababu Haijatoka Nje Ya Dar!! Haya leo Twambieni Mbeya Nayo Ni Sehemu Ya Dar??
Mumekuja Na Gia Nyengine eti Tusifurahi Manake Ligi Bado Mbichi!!! Pia Kwetu Simba Si Tatizo Manake Tushaivumbika iive....
Asieamini Kuwa Simba Ni Bingwa Basi Kila la kheri Aende Kumuona Daktari wa Magonjwa ya Akili...
 
Wanazungumzia viwanja vibovu mkuu, sokoine ipo vzr waliishakarabati uwanja wao. Km una kumbukumbu hata simba walilalamikia uwanja wa Uhuru je ukikutana na uwanja wa nangwanda itakuwaje?
 

Mashabiki na viongozi wa Simba wanachonga mno wasipo angalia nafasi ya Azam ambayo ni ya pili anaweza chukua Stand United na Simba wakabaki nafasi yao ya kila mwaka inajulikana
 
Siku hizi mnaingia Jf bila hata hodi.

Lile Jukwaa la Utambulisho halina tena maana.
 
Dakika 90 za mchezo wa ligi kuu Tanzania bara Stand United vs Azam fc zimemalizika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga. Stand United "Chama la Wana" wameibuka kidedea kwa kuinyuka Azam Fc bao 1-0...Stand wamejipatia bao hilo kupitia kwa mchezaji Adam Salamba dakika ya 52.

Simba Kama Kawa, Yanga Kachomeka, Mtibwa Kashindwa Kuchomoa







Chanzo: Malunde blog
 
Naona timu ya wajane aka mbumbumbu fc imewasha moto hasa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mashabiki na viongozi wa Simba wanachonga mno wasipo angalia nafasi ya Azam ambayo ni ya pili anaweza chukua Stand United na Simba wakabaki nafasi yao ya kila mwaka inajulikana
Wanatunza nafasi ya wenyewe... Wanakuja kama tsunami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…