Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA RUVU SHOOTING LEO.

1. Farouk Shikalo
2. Mustafa Selemani
3. Ali Abdulkarim
4. Kelvin Yondani
5. Lamine Moro
6. Papy Tshishimbi
7. Juma Balinya
8. Feisal Salum
9. David Molinga
10. Sadney Khoetage
11. Patrick Sibomana

SUBS
Metacha Mnata
Ali Ali
Muharami Issa
Mapinduzi Balama
Mohamed Issa
Mrisho Ngassa
Mybin Kalengo

Kauli ya Mwinyi Zahera

"Nimewaambia wachezaji wote wapya kwamba hakuna hata siku moja Yanga inacheza mechi nyepesi, mechi zote ni ngumu "

Tukatane baadae

Daima mbele nyuma mwiko

Wawakilishi pekee waliobaki kuiwakilisha tanzania kwenye club bingwa africa.
 
Hawa ruvu, prison na polis huwawanavaa buti uwanjan
 
David Molinga Falcao hamna tofauti na wabrazili wa mikia fc
 
Ngoja nishirik namm huu uzi leo kifuoi ntasaidia kutoa matokeo
 
Mapinduzi Balama na Mohamed Issa 'Banka' hawana sifa ya kukaa benchi. Fei Toto ana sifa zote za kuanzia nje. Ila naheshimu uamuzi wa mwalimu.
Nadhani mwalimu kawaweka nje mambo yakiwa magumu waingie wakapindue tokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…