Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

Wananchi msisahau kuja na sadaka maana kisonzo kitapita kama kawa

Yanga oyeee
 
MCHEZO WA UTANGULIZI

FT

YANGA U20 5 - 0 RUVU SHOOTING U20

Omal dk 20,39

Chibada dk 26

Gustafa dk 34

Said Mussa dk 68.
FB_IMG_1566995519450.jpeg
 
Kama huna kazi ya kufanya ni bora ulale tu. Kupoteza muda wako hapa eti unashabikia Ruvu Shooting ni ujuha wa kiwango cha stiglers gorge. Yanga toka izaliwe haijawai kufungwa na ruvu shooting zaidi imeambulia sare moja tu
 
Back
Top Bottom