Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #41
Gooooal
Ruvu 1
Ruvu 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruvu hata droo tu inatosha.
#Muosha huoshwa.
Ngoja uone watakapo pata bahati ya kusawazisha watakavyokuja kujaza huu uzi kama mazuzu"Yanga baridiiiiiiiii"
Sio maneno yangu,,ni maneno ya mzee wa msoga
Tupooo hapaNgoja uone watakapo pata bahati ya kusawazisha watakavyokuja kujaza huu uzi kama mazuzu
Tutachofahamu ni kwamba Ruvu wamenyimwa bao..!Off-side gani ya namna ile jamani? Ruvu wamenyimwa goli la 2 live.
Yule makambo hakuwa mtu wa kawaida yuleTumshukuru tu mwamuzi wa pembeni Janeth Balama kwa kulikataa goli la pili ambalo ukiangalia marudio, mfungaji hakuwa kwenye nafasi ya kuotea.
Ukweli mchungu, timu yetu ina washambuliaji butu! Hawana macho ya kufunga kabisa. Halafu mwalimu ndiyo anawaamini usipime! Sijui itachukua muda gani hadi wafikie kiwango cha Herittier Makambo!
Nenda kawape wewe[emoji23][emoji23]Off-side gani ya namna ile jamani? Ruvu wamenyimwa goli la 2 live.