Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

Fact
 
"Ruvu Shooting ni zaidi ya Rollers, Ruvu Shooting ni zaidi ya hao wanaokuja! Zesco......Ruvu Shooting mwaka huu bingwa, ninawaambia"- Kauli yake Masau Bwire (msemaji wa Ruvu Shooting)
 
#Tate wewe ni moja ya shabiki bora wa yanga, comment yako inazihirisha hilo...
 
Fikiria mmepata nafasi za Kona 13 hamjafunga hate moja
 
mwinyi zaera siyo kocha wa football, nadhani anafaa zaidi kwa saikolojia rather than coachiing, yaani team haina formation kabisaa.......kipindi cha mzee pluijim team ilikuwa na mpira wa kueleweka na hata team work ilikuwa inaonekana uwanjani, kwa sasa ni majanga matupu na watu viongozi wanaangalia nani amfunge paka kengele......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…