Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpapaso SquareMassau anakuambia kumpapasa mzuri ni raha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FactHakuna hiyoo mzee, mimi sifati itifaki
unaweza ukacheza fair play kwa kumuepusha simba kwa hatari ya moto lakini siku ukapita kwenye msitu akawa ndiye wakwanza kukushambulia
bila kujali kua msaada uliompa ndio umemfanya aendelee kua hai mpaka leo
Juzi tumetoa sare, ulicheki michambo?? Sasa just imagine tungefungwa ingekuwaje??
Nilishawahi kusema mimi, ule ushindi wa yanga walioupata kwa township rollers hawajaufurahia sana kama kutolewa kwa simba walivyo shangilia kwa furaha sana
Hata shetani akicheza na yanga nitashangilia timu pinzani sio yanga
#Tate wewe ni moja ya shabiki bora wa yanga, comment yako inazihirisha hilo...Tumshukuru tu mwamuzi wa pembeni Janeth Balama kwa kulikataa goli la pili ambalo ukiangalia marudio, mfungaji hakuwa kwenye nafasi ya kuotea.
Ukweli mchungu, timu yetu ina washambuliaji butu! Hawana macho ya kufunga kabisa. Halafu mwalimu ndiyo anawaamini usipime! Sijui itachukua muda gani hadi wafikie kiwango cha Herittier Makambo!
Wee wakikusikia wenzako Baridiiiiiii Fc !Kocha wetu shati tu.
Fikiria mmepata nafasi za Kona 13 hamjafunga hate mojaTumshukuru tu mwamuzi wa pembeni Janeth Balama kwa kulikataa goli la pili ambalo ukiangalia marudio, mfungaji hakuwa kwenye nafasi ya kuotea.
Ukweli mchungu, timu yetu ina washambuliaji butu! Hawana macho ya kufunga kabisa. Halafu mwalimu ndiyo anawaamini usipime! Sijui itachukua muda gani hadi wafikie kiwango cha Herittier Makambo!
Leo tu??Mungu kawasaidia mikia ili watabasamu,maana walikuwa wamenuna sana
Naona Leo wametabasamu kidogo
Ugua poleMungu kawasaidia mikia ili watabasamu,maana walikuwa wamenuna sana
Naona Leo wametabasamu kidogo
Leo kawa shati, siku mlipomfunga Rollers alikuwa luluKocha wetu shati tu.