Hahaaa! Pole sana Mtani.
Yaani zile nyuso zao zilizodhohofika leo zitakuwa na nuru. 😀😀Mungu kawasaidia mikia ili watabasamu,maana walikuwa wamenuna sana
Naona Leo wametabasamu kidogo
Pole kwa kipigoNipo Mtani.
Ahsante Mtani. Kawaida hiyo kwenye Soka.Pole kwa kipigo
Mkawadhulumu goli lao la pili, ingekua Simba tungepelekwa hadi FIFAAhsante Mtani. Kawaida hiyo kwenye Soka.
Pia tumewasaidia angalau msipate magonjwa ya moyo .
Sasa pale sisi kosa letu lipi Mtani? Wapambane na Mshika kibendera.Mkawadhulumu goli lao la pili, ingekua Simba tungepelekwa hadi FIFA
Fair play mngetakiwa mumpinge mshika kibenderaSasa pale sisi kosa letu lipi Mtani? Wapambane na Mshika kibendera.
Kama ambavyo hamjawahi vuka hatua ya round ya pili.Mikia mnajifariji ..Yanga haijawahi kutolewa awali CAF ...
Haha Leo nipo kwenye banda langu na nguvu zote.Hahaaa! Pole sana Mtani.
Najua angalau leo mtatembea vifua mbele sababu mnacho cha kuongea. 😀😀
Aah! Hii Kali Mtani.Fair play mngetakiwa mumpinge mshika kibendera
Hahahaa! Haya bwana MtaniHaha Leo nipo kwenye banda langu na nguvu zote.
maisha yako kasi sana, sasa hivi simba hamuizungumzii tena klabu bingwa africa, mnakomaa na JKT, NAMUNGO . hahaha vipi mpango wa kufika nusu fainali ya klabu bingwa africa ndio umeshakufaHaha Leo nipo kwenye banda langu na nguvu zote.
Mbona kinyonge;Hahahaa! Haya bwana Mtani
Hahaha yetu macho: sometime kwenye mpira bahati inahusika, ama kweli siku iyo tulikuwa hatuna bahati ila tulicheza mpira mzurimaisha yako kasi sana, sasa hivi simba hamuizungumzii tena klabu bingwa africa, mnakomaa na JKT, NAMUNGO . hahaha vipi mpango wa kufika nusu fainali ya klabu bingwa africa ndio umeshakufa