Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

Ligi Kuu Bara: Yanga FC 0 Vs 1 Ruvu Shooting

Hii inaonyesha ni jinsi gani Watani zangu mlikuwa hamjiwezi na bila sisi kufungwa basi yule jinamizi wa Du Songo angewaandama mpaka mkome kuipenda soka.

Ligi haijakwisha jamani. Hivyo tunyweni mtori nyama tutazikuta chini. 😀😀😀
 
Tui uko wapi Mtani. 😜😜 Njoo umwage nyongo huku. 😂😂😂
 
Socks hizo vipi
FB_IMG_1567049034003.jpeg
 
maisha yako kasi sana, sasa hivi simba hamuizungumzii tena klabu bingwa africa, mnakomaa na JKT, NAMUNGO . hahaha vipi mpango wa kufika nusu fainali ya klabu bingwa africa ndio umeshakufa
Hahaha yetu macho: sometime kwenye mpira bahati inahusika, ama kweli siku iyo tulikuwa hatuna bahati ila tulicheza mpira mzuri

Kiuhalisia mtani sisi tunakikosi bora kuliko nyinyi na huo ni ukweli hata ukikataa.

Yanga haina muunganiko kila Mtu anacheza mpira wake mpaka mje muunganike kwenye ligi point la gap litakuwa 18

Strikers zenu hazina uwezo wa kudumkiza mipira golini zaidi ya mipira iliokufa ama penati.
 
Back
Top Bottom