Hiyo ni ball to handGoli linarudiwa,Tambwe alishika mpira,huyu k kaharibu mpira,
Watuchanganya mkuu, umemlaumu refa; sasa unakuwa paranoid kwa wachezaji. Kakosea refa au mchezaji kanunuliwa?Achunguzwe , maana gemu hizo hata wachezaji wananunuliwa , fanya ujinga upewe red card tutakulipa .
Na hiyo ndio itakayotugharimu kuliko hata goli la TambweHuyu refa ni hovyo..sijaelewa ile kadi nyekundu kwa MKUDE ni kosa gani?
Wewe hujui Mpira. Kipindi Mourinho yupo Madrid alikuwa anapigwa nyekundu kila mechi karibuMpira wa bongo unaharibiwa na waamuzi.....tujifunze deby za nje mara chache sana utakuta kadi inatoka kwenye deby ya barca na madrid
Ilikuwa France vs Ireland, na ilizaa moja ya kashfa zilizowang'oa vigogo wa FIFA kwa rushwa, kwani waliihonga Ireland na kuiingizia mabilioni kwenye akaunti yake ili inyamaze kuilalamikia Franceilikuwaje maradona kufunga goli la mkono miaka iliyopita? France(Thiery Henry) vs Scotland
Yote yawezekana , utapewaje red card wakati tuko nyuma .Watuchanganya mkuu, umemlaumu refa; sasa unakuwa paranoid kwa wachezaji. Kakosea refa au mchezaji kanunuliwa?
Madaraka Selemani Mzee wa kiminyio alitufunga hivi hivi na hatukujaza fujo... Mtulie mtenda hutendwaTZ HAKUNA MPIRA AISEEEEEEEE MPIRA UMEINGILIWA NA SIASA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akuulize nani?Haki ya mungu simba tunashinda and I'm sure, na sitaki maswali naomba mniache tafadhali
Hizo derby za nje nitajie ni mchezaji gani aliyemsukuma refa halafu akaachwa uwanjani.Mpira wa bongo unaharibiwa na waamuzi.....tujifunze deby za nje mara chache sana utakuta kadi inatoka kwenye deby ya barca na madrid
Umebet nn?Haki ya mungu simba tunashinda and I'm sure, na sitaki maswali naomba mniache tafadhali
simba lenyewe kumbe mchele mchele...
Mimi Simba wa kulialia ujue😛😛