Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Hihiiiiiii kuna watu watakula ban leo.
Matusi ya nini?Nimeogopa kukuquote nisijekula ban nikashindwa kushangilia mieee [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Achunguzwe , maana gemu hizo hata wachezaji wananunuliwa , fanya ujinga upewe red card tutakulipa .
Watuchanganya mkuu, umemlaumu refa; sasa unakuwa paranoid kwa wachezaji. Kakosea refa au mchezaji kanunuliwa?
 
Mpira wa bongo unaharibiwa na waamuzi.....tujifunze deby za nje mara chache sana utakuta kadi inatoka kwenye deby ya barca na madrid
Wewe hujui Mpira. Kipindi Mourinho yupo Madrid alikuwa anapigwa nyekundu kila mechi karibu
 
ilikuwaje maradona kufunga goli la mkono miaka iliyopita? France(Thiery Henry) vs Scotland
Ilikuwa France vs Ireland, na ilizaa moja ya kashfa zilizowang'oa vigogo wa FIFA kwa rushwa, kwani waliihonga Ireland na kuiingizia mabilioni kwenye akaunti yake ili inyamaze kuilalamikia France
 
Mpira wa bongo unaharibiwa na waamuzi.....tujifunze deby za nje mara chache sana utakuta kadi inatoka kwenye deby ya barca na madrid
Hizo derby za nje nitajie ni mchezaji gani aliyemsukuma refa halafu akaachwa uwanjani.

Acheni kulalamika bila sababu. Uwezo wenu mwisho kwa Majimaji tuu.
 
Back
Top Bottom