Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Link please ya kuona online
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka muda huu uwanja unaelekea kunona , mashabiki wa pande zote mbili wanazidi kumiminika .
Mashabiki maandazi nao wamo pia , kama kawaida rangi nyekundu na zile za njano zimetawala mitaa .
Tuwe pamoja kwa live coverage hapa hapa jukwaani.
Nakala imfikie OKWI BOBAN SUNZU .
..........................................................
Mengineyo - Kutokana na utaratibu mpya wa kupata tiketi basi bila shaka tutarajie kuvunjwa kwa rekodi ya mapato , sitarajii visingizio vya namna yoyote ile .
Sijui kwanini lakini nahisi wewe ndio yule dada yangu wa Sinza [emoji12]2 - 1 Tukutane Taifa. On my way.
#teamyangaforever#
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe sio mzimaJmn nimesha noa visu kwa ajili ya kuchinjia simba. Hvyo wanayanga wenzangu muwahi nyama ila mm nitakula pale kati patamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga wakiifunga simba, Mpenzi wangu wa humu Jf ninyime unyumba miezi sita
[emoji2] [emoji2] [emoji2] bora umeamka tu ndoto zingine muwe mnakemea aahJana nmeota ndoto MBAYA sana kipind cha kwanza MNYAMA kaongoza 3-1,et kipind cha pili KANDAMBILI kashinda 5-3 ghafla nikastuka kutoka ucngzn.
Naona mtu akipigwa yanga 2-1 simba
UtasubirNaona mtu akipigwa yanga 2-1 simba
Kwa hisani ya ModeratorsLink ya live streaming please.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] bora umeamka tu ndoto zingine muwe mnakemea aah
Aisee itakua vizur sn mkuungoja nifuatilie link, nikiipata ntaiweka hapa soon
ThubutuY-2,S-1.
Hakuna kukimbia humuTusikimbiane mnyama....