Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)



Mpaka muda huu uwanja unaelekea kunona , mashabiki wa pande zote mbili wanazidi kumiminika .

Mashabiki maandazi nao wamo pia , kama kawaida rangi nyekundu na zile za njano zimetawala mitaa .

Tuwe pamoja kwa live coverage hapa hapa jukwaani.

Nakala imfikie OKWI BOBAN SUNZU .
..........................................................
Mengineyo - Kutokana na utaratibu mpya wa kupata tiketi basi bila shaka tutarajie kuvunjwa kwa rekodi ya mapato , sitarajii visingizio vya namna yoyote ile .


Link ya live streaming please.
 
Jana nmeota ndoto MBAYA sana kipind cha kwanza MNYAMA kaongoza 3-1,et kipind cha pili KANDAMBILI kashinda 5-3 ghafla nikastuka kutoka ucngzn.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] bora umeamka tu ndoto zingine muwe mnakemea aah
 
Simba stand up ouyooooooh ouyooooooooh
Simba 2-1 yanga
 
Kamati ya ufundi hakuna namna yeyote kuwafanya ajibu na tshabalala wasicheze...? mavugo hana jipya mzembe tu
 
Back
Top Bottom